Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

 
Duh! Eeeeehe, kazi kweli kweli.....
Ukitaka kwenda sawa na jiwe inabidi uweke profession yako pembeni, uachane na fact, uwe tayari kutetea chochote kile anachotaka yeye na uwe ndani ya kichwa chake kujua nini anataka kwa wakati huo na nini hataki........!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kwahiyo mzee baba ukiambiwa andika sentensi moja kwa uliyo yaandika ungesemaje?
 
Hahahahaa...ila JPM hii ni hatari kwa afya, tena na Corona hii mie ningeondoka kabisa, huu utumbuaji wa watu wamekaa wanaangalia taarifa ya habari tena mwishoni mtu anajua siku ishaisha anafunga towel kwenda kuoga ndo mnaachia barua sio kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JamiiForums sasa niwashauri kitu ?

futeni videos zote za Ndugulile akitoa ufafanuzi kuhu corona kumbe alikua anatudanganya...
 
Well said. Huyu mjinga ataropoka yote ya moyoni. Yaaani ndio vuruga kabisa urafiki na uhusiano na majirani zetu.

JK MUNGU ANAKUONA, ULIINGIA NA JINA LA KICHAA MFUKONI.

Sent using Jamii Forums mobile app
EAC nchi ya kidiplomasia ilikuwa ni Tz peke yake, ila kwa sasa mambo ni tofauti kabisa
Angalia Burundi, Uganda, S.Sudani, Rwanda, Kenya alafu Tz. Hawa watu hawakai meza moja, sasa kilichobaki tusubiri jiwe aongee ili tujue ni lini hasa tunagawana fito rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…