Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

Ukisikiliza sana na kuangalia kwa kina shida zilizoko hii nchi unaona kabisa kuna sababu mahususi zakupumzisha hii serikali ya Ccm.Kwasababu uwezo wao wakufikiri na kutenda umeshaisha.Zilizobaki ni porojo za kusifu na kuabudu ili matumbo yao yaendelee kushiba.CCM haiwezi tena kuleta maajabu kwenye hii nchi.
 

Huyu jamaa commedy ndio maana alimuambia Magufuli Mungu ampe Corona …
Huyu anaweza hata kulamba Viatu ya watu kama anaafikia hadi kujipendekeza kwa Mchengerwa
 
kuweni kama Ally salum Hapi mkuu wa mkoa alieondolewa hababaiki na uteuzi wowote na yupo vizuri sana kuliko alivyokuwa mkuu wa mkoa
 
Yaani waziri anaangalia tumbo lake tu, hili ni zihirisho tosha, eti nimesurika, ushenzi mkubwa huu
 
Hayo yanahusiana na nini na huo mkutano wa hadhara
 
Ni unafiki na umungumtunization!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…