GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
....Ukraine, au Poland labda? 😲Wasomi wa ulaya hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....Ukraine, au Poland labda? 😲Wasomi wa ulaya hawa
Unamshangaa huyo ''dokta''? Mbona rais mwenyewe na wengine wameonekana kufurahishwa kabisa na aliyoyasema? Hii ni laana ya nchi hii.eti Dokta huyo!
nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva.
Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia simu nyingine kuangalia nini kinaendelea. Nikaona mtu ameniambia hongera mdogo wangu nikajua Mkuu nimenusurika.
Mh. Rais nakushukuru sana, nikathubutu kusoma ile kitu. Mh. Rais Nakushukuru sana kwa mimi kunusurika"
Alisema Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel, alipopewa nafasi ya kutoa neno katika hafla ya ufunguzi wa barabara ya Mtwara leo Sptemba 15 2023.
Nchi ilipitia pagumu hapa imagine eti walikuwa ndio wanashauri wananchi namna ya kutibu Covid -19.View attachment 2750166View attachment 2750166View attachment 2750165 View attachment 2750164
Hili salitiNina mashaka na akili zake huyu
Kweli.Hili saliti
Hakuna shida ni CCM watupu hao.Ameongea ujinga
Huyu jamaa ni kilaza sanaNimesikia, sikujua kama anayeongea hizo pumba ni waziri
Hata Mwalimu Lwaitama aliwahi kutoa Takwimu za tafiti iliyofanywa na Taasisi fulani inayodhihisha uwepo wa wajinga na mataahira wasiofundishika.Kuna mtu mmoja aliwahi sema hii nchi imejaa wajinga wengi sana,
Ni unafiki na umungumtunization!