Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Chato!Mobutu
Chato hifadhi mpya ya wanyamapori wa kisasaMobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Chato!
Huyu tofauti sana, haheshimu sheria, katiba wala hataki kuonekana mstaarabu. Na unaweza kutumbuliwa kwa kuonekana huimbi pambio vizuri tu.Huyu jamaa ana 4 years to go, kwanini wanamwogopa hivi? Wanajua nini ambacho hatujui? Mbona Mkapa na Kikwete hatukuona haya mambo?
Hakuna andiko kama hilo.Usichanganye siasa na biblia,ni elimu mbili tofauti.Usijifanye wewe hapa duniani humtgemei binadamu, yaani uko kivyako Kama nyumbu.
Biblia imesema alaaniwe amtegemeaye mwanadamu HUKU AMEMSAHAU MUNGU.
Usikatishe vifungu vya biblia ili upate maana ya kishetani utalaaniwa.
Basi tu ushakuwa mtanzania na unaishi Tanzania.Kuna mtu alishasema Magufuli ni Mungu.
Wateule wake wanasujudu sana wakitajwa hadharani.Alaaniwe amtegemeaye mwanadamu
Wapi waziri au mleta mada kasema kumtukuza Magufuli?
Kasema kumsifu na kusifiwa binadamu akifanya vizuri ni kawaida hajasaema kumtukuza kuwa mwelewa usilete geuzageuza yenu ya maneno.
makubwaaKuna mtu alishasema Magufuli ni Mungu.
Ningekuwa JPM ningekemea kimyakimya ujinga huu wa baadhi ya viongozi kuwageuza wananchi mazezeta ya kusifusifu na kupongeza ovyo ovyo kwa maslahi yao binafsi.Wapi waziri au mleta mada kasema kumtukuza Magufuli?
Kasema kumsifu na kusifiwa binadamu akifanya vizuri ni kawaida hajasaema kumtukuza kuwa mwelewa usilete geuzageuza yenu ya maneno.
Ni jambo jema.Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali
Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert ambayo ametunukiwa Rais Magufuli
Chato syndrome. Yaani kila mtu anajipendekeza kwa mhe. Inapelekea wanafanya mambo ya kitoto ili wawe karibu hata kama ni kinafki.Bado kumsujudia tu.
Jina la Mheshimiwa mtukufu Naibu Waziri tafadhaliNaibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali
Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert ambayo ametunukiwa Rais Magufuli
Asujudiwe mara mbili?Bado kumsujudia tu.