Pre GE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nini tena, ni kinyume na utamaduni desturi huku Tanganyika.

Waziri Nape Nnauye yeye hana ustaarabu wa kujiuzulu baada ya kumdhalilisha rais na mwenyekiti wa chama dola kongwe bado yupo serikalini! Tume Huru ya Uchaguzi imedhalilika, imani miongoni mwa wadau na wananchi imepungua kuhusu uchaguzi huru ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=nHCBANX3qVMSiku chache zilizopita Waziri Nape Nnauye kwa kuweka bayana na kusema miaka nenda rudi toka kuasisiwa siasa za vyama vingi huwa wanaiba, kuvuruga na kuchafua mchakato wa uchaguzi Tanzania ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=J7vkxf3FXyU&pp=ygUSTmFwZSBObmF1eWUgQnVrb2Jh
 
I smell Cabinet reshuffle

Ila hongera zake. Wazanzibari kwenye maadili ya kusimamia wanavyoamini wako vizuri sana
Siyo issue ya Maadili mkuu.. point iko hapo wazi kabisa..kuna Reshuffle ya Cabinet..huyo kapewa maelekezo ajiudhuru,ili ateuliwe mtu mwingine awe mbunge na anaweza kuwa ni aidha Makonda ama Msigwa na akalamba uwaziri ama unaibu uwaziri.. na huyo aliye jiuzuru akateuliwa nafasi nyingine serikalini.
 
Yaaani makonda awe Waziri? Kwa kitu kipi cha kipekee anachoweza?

Hii nchi TISS na Jeshi wasituangushe ili tukae sawa huko mbeleni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…