Pre GE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa sababu Mzee Mbarouk ni TISS , na aliwekwa hapo kufatilia hatua za Jamaa wa Bumbuli.

Kazi kaimaliza, anavyosema "Changamoto Binafsi " .... Ni kwamba anarejea Nyumbani kwenye majukumu yake ya zamani.


Hahitaji Nafasi nyingine Kwa sababu hizo nafasi nyingine haziondoi Changamoto zake.



Nadhani Kuna Mabadiliko ya Baraza la mawaziri.


Mimi bado nataman kuona


BASHE MSOMALI ,ATUPILIWA MBALI.

NAPE BICHWA EMPTY , ANATEMWA.

MAKAMBA KIPARA , ANAFYEKELEWA MBALI.
 
Kuna muda Rais atateua zaidi nafasi za wabunge kuzidi kiwango anachotakiwa kuteua ni 10tu

So hawa hawa waliopitishwa na jiwe inabidi akubaliane nao!
 
Mzanzibar anamsanua Mzanzibar mwenzake ili baadae ampandishe kuwa Mkubwa zaidi.
 
Kuna muda Rais atateua zaidi nafasi za wabunge kuzidi kiwango anachotakiwa kuteua ni 10tu

So hawa hawa waliopitishwa na jiwe inabidi akubaliane nao!
Ni kweli kwa Katiba yetu hii mbovu Rais ameminywa kwa kupewa nafasi 10 tu za kuteua.

Ndo mana wenye akili wanasisitiza sana manadiliko ya hii katiba yetu.

Ila vyovyote vile, kwa lile Bunge letu ni wabunge wachache sana wasiozidi 5 wanaostahili kuwepo kwenye Baraza la Mawaziri.

Wengine wote ni vilaza tu. Mbaya zaidi hadi wanasiasa wanaotajwa kupewa uwaziri sijui makonda, sijui msigwa, wote ni vilaza tu ambao hawana chochote cha maana katika kiuvusha hii nchi ywtu na kuifanya kuwa bora kiuchumi.
 
Watanzania bhana, mtu akiwa tiss mnamuona kama anafanya kazi mbinguni yaani malaika
Watu hawana kazi wala maisha bora ndo maana wanapapatika na teeth wakiona wanatembelea Nissan nyeupe wamevaa kaunda suti nyeusi na kuweka bastola kiunoni basi ndo wamemaliza kumbe nao ni kina apeche full madeni bar, mangi nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…