TANZIA Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia

Ha-makom Ye-nachem etchem be-toch She'ar Avelay Ngorongoro vi-Tanzania 🤲🤲

Yetzer Ha-Tov William Ole Nasha🤲
 
wazazi wana Baraka na laana katika ndimi zao.

kuna kitu hapa

Rip Marehemu 😢
 
Aisee
 
R.I.P Naibu waziri .

#MAMA 2025.
 
Mkuu unaonekana msomi mbona hivi tena ?!!

Pamoja na uhasimu wa siasa zetu hivi kweli hatuna soni kwa nafsi zetu pale tufanyapo uzushi uliopitiliza?!!!

YetzerHaTov
Haya tuambie hans poppe alikufa kwa kitu gani ? Njoo na hapa airport dar utuambie kuna jamaa tumemzika kama mwezi hivi alikufa kwa kitu gani au nenda airport kaulize wafanyakazi stimu ya chanjo imekata baada ya huyo jamaa kuganja,tatizo serikali aisemi ukweli hivyo imepoteza imani kwa wananchi ,zimeni camera watu hii habari isisikike popote
 
Kufikia 2022 ntakuwa nimechanja 70% ya wananchi wangu. thawa UN?
Mama anawatoa watu kafara kwa kuwaadaa wapate chanjo
Mawazo ya kimaskini kitoka kwa mashiki wa akili, magufuli aliwaharibu sana nyie wajinga, wakati huo mnazitaka ARV kwa nguvu sana na mkizikosa mnalia lia sasa kwani hizo zinatengenezwa kwa mtogole?
 
acha kujiliza bwana mdogo. nyie mafisiem ni washenzi sana basi tu
 
Mawazo ya kimaskini kitoka kwa mashiki wa akili, magufuli aliwaharibu sana nyie wajinga, wakati huo mnazitaka ARV kwa nguvu sana na mkizikosa mnalia lia sasa kwani hizo zinatengenezwa kwa mtogole?
Kadungwe chanjo saba saba wewe zipo teleee zinakusubiri
 

Viongozi wengi wana Ngwengwe sana,wanapata fedha nyingi za bure bure hivyo wanakuwa na michepuko ya kutosha na kuwaingiza kwenye Gridi ya Taifa.
 
Taarifa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…