TANZIA Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia

Si busara kufurahia kifo cha mtu hata kama kimetokana na uzembe au kutojali kwake. Utu wa kila mtu uheshimiwe.
 
Mkuu acha uongo Hana mke mzungu mkwe wake ni binti mdogo amekuwa jirani yangu kwa miaka mingi pamoja na kuwa pamoja kupiga vyombo sinza kabla hajaaamia kwake kigamboni na kuwa mbunge
 
HAWEZI KUWA HUYU....

NARUDIA, HAWEZI KUWA HUYU HATA KIDOGO....

JUZI KUAMKIA HANA NIMEFUNULIWA KWA NJIA YA NDOTO KWAMBA TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI MZITO...

TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOFANYA TUPEWE SIKU KADHAA ZA MAOMBOLEZO...

TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOSABABISHA MABADILIKO MENGINE YA UONGOZI...

HALAFU MNIAMBIE ETI NI NAIBU WAZIRI?!

NO WAY... SOMETHING IS COMING, I DON'T GIVE A SHIT WHO OR WHEN BUT IT'S COMING!!

ALL IN ALL, REST IN PEACE WILLIAM OLE...

BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE... AMEEN!!
 
Maccm huko kuna nini?? Kila kifo ni mbunge, diwani wa ccm.

Anyway R.I.P kama hukushiriki maovu dhidi ya watu wengine
 
Una mengi inaonekana yaweke

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 

Mmmmm we jamaaa!!!inamana top three,sooner very soon
 
Kwahiyo kumbe hata ukichanja unaweza kuondoka na wimbo la tatu? Nijuavyo mimi huyu bwana alichanja.
 
Kwan si unapanchi tu Kisha alie karibu ndo linamdondokea Kama ni vifo vya ndotoni. Ungeendelea kulala lazima pia ungepata na maono namna ya huyo mtu kukiepuka kama alivyofanya Godbless Lema akamuonesha kabisa namna ya kukiepuka lkn jamaa akawa kaidi
 
Yoyote yule,wakati wowote ule, mahala popote pale, bila kujali Hali aliyonayo ni lazima ataiaga dunia.Hivyo usiwawazie wenzako mabaya kwa kujiangalia labda afya yako ni njema kwamba hauwezi kufa.

Juzi nilikuwa Bariadi kwenye mgodi mmoja hivi wa Dutwa, kijana mwenye afya zake amefariki kwa kufata ndio duarani. Mwezi wa tano tu hapa nimepoteza rafiki yangu kwa ajari kwahiyo kinakuja kwa namna ya pekee sana.

Si ajabu ukatangulia hata leo na usifanikiwe kupewa hizo siku za mapumziko.
 
Itakua ulifunuliwa dera labda mkuu
 
Kwan si unapanchi tu Kisha alie karibu ndo linamdondokea Kama ni vifo vya ndotoni. Ungeendelea kulala lazima pia ungepata na maono namna ya huyo mtu kukiepuka kama alivyofanya Godbless Lema akamuonesha kabisa namna ya kukiepuka lkn jamaa akawa kaidi
Kwamba Lema ndo anapangia watu siku za kufa, na anajua namna ya kuepusha wa na vifo?

Mwambie atafute namna ya kukiepuka kifo chake, kama ni rahisi hivyo.
 
Huzuni
 
Yoyote yule,wakati wowote ule, mahala popote pale, bila kujali Hali aliyonayo ni lazima ataiaga dunia.Hivyo usiwawazie wenzako mabaya kwa kujiangalia labda afya yako ni njema kwamba hauwezi kufa.
Nimemwazia nani mabaya?! Na hayo mabaya nimewazia vipi?! Huoni unge-make sense endapo ungesema "usiamini ndoto" kuliko kusema "usiwazie wenzako mabaya"?

Au ndoto ni mawazo?!
Last time I checked, I remember to say "...simanzi iliyofanya TUPEWE siku za maombolezo" but I don't find anywhere niliposema "NIKAPEWA" siku za maombolezo! That having been said, if not ME, then waliopo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…