Naichukia Jumapili kuamkia Jumatatu

Hahaha, pole Mtani.

Nakaribia ofisini halafu sijui kama ntakuta pako wazi.
Ahsante Mtani! Hongera zako Mtani. Ni vyema sana kuwahi kwa Ofisi.

We huwa usingizi wa jumapili kuamkia jumatatu haukusumbui saa ya kuamka Mtani?
 
...najua nikiangusha tu hapa nikishtuka ni saa 11, dadeq! Nauchukia usiku wa kuamkia Jumatatu.

..nasikia huku post isiwe ndefu, wala comments zisiwe ndefu.[emoji23][emoji23]
Hahahaaa hakika hapa mihangaiko tu
 
Ukiwa unaipenda kazi yako, mazingira ya ofisi na watu wanaokuzunguka J3 mpaka Ijumaa ni kama uko picnic.

The best office is farming, you are the boss of yourself. May be a customer can give you terms and conditions but you can always find a better deal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…