Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kesho unapata wapi nguvu za kuanza wiki, [emoji23][emoji23]
Ni Noma KweliiAcha kabisa mkuu..
PoleEx darling mie naumwa.
Ndio yaliyonikuta muda si mrefu. Khaaaa.
Yaani sijaiamini Alarm ya simu mpaka nilipocheck saa ya ukutani. Aiseee.
Ahsante Mtani! Hongera zako Mtani. Ni vyema sana kuwahi kwa Ofisi.Hahaha, pole Mtani.
Nakaribia ofisini halafu sijui kama ntakuta pako wazi.
Hahahaaa hakika hapa mihangaiko tu...najua nikiangusha tu hapa nikishtuka ni saa 11, dadeq! Nauchukia usiku wa kuamkia Jumatatu.
..nasikia huku post isiwe ndefu, wala comments zisiwe ndefu.[emoji23][emoji23]
Hii inafaa kwenu kina Baba ila kwa sisi mpaka uweke mambo sawa + maagizo kwa mdada yasiyoisha basi kupanda kitandani saa 3.Amka ukachape kazi
Raha ya jumapili lala saa moja