Naichukia Jumapili kuamkia Jumatatu

Me J3 hii nimeisubiri Kwa hamu sn maana Manchester united inashinda leo.

Over
 
Utafanya kazi kama punda kwenye ofisi yako mwenyewe au umeajiriwa am sorry mkuu kwa swali hili
 
Ratiba yangu huwa naamka saa 11 kasoro 20 kila siku. Jumatatu hadi Jumapili. Nilishazoea wala sionagi tabu
 
Ratiba yangu huwa naamka saa 11 kasoro 20 kila siku. Jumatatu hadi Jumapili. Nilishazoea wala sionagi tabu
Naomba tuwe tunalala wote sakayo[emoji23][emoji23][emoji23] ili saa 11 na nusu uniamshe, mbona jumanne sio ishu. Monday dadeq, waliosema blue Monday hawakuwa viazi ..
 
Utafanya kazi kama punda kwenye ofisi yako mwenyewe au umeajiriwa am sorry mkuu kwa swali hili
..oh hilo swali, punda kwa ofisi yake au ya mwingine?(kuajiriwa)
 
mimi huwa naweka alarm saa 11 kasoro ili ikilia tu nazima alarm najivuuuuutaaa kusogeza sogeza kausingizi kuja kufika 12 kasoro ndo naamka sema mimi kazini ni karibu sana 10 minutes nakua nshafika

Cc Smart911
Shida sio distance, tatizo ni mentality tu kichwani huko. Jmosi na Jpili zinafanya mwili u-relax sana, nikishafikiria tu kuamka asubuhi nachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…