Msimu unakimbia mzee, ww fanya utoke huku, uende ukodi shamba ulime.Mkuu karibu changia uzoefu wako basi
Wastani wa gunia kwa ekari
Na wastani wa mafuta kwa dumu
Gharama sio tatizo
Tatizo ni kujua hiyo fomula hapo juu ndio tutajua kama inalipa au la
Kuna thread flan nlifunguka sana kuhusu hiki kilimo, ngj niitafte nifanye ku copy.Wapi hesabu haziko sawa mkuu
Ndio maana ameleta jukwaani ili ziwekwe sawa
Kingine cha kumsaidia, alime mapema coz naona kapigia hesab na dengu. Ko akalime saiv ili mwez wa 2 aondoe alizet apachike dengu chap...
Cha kumsaidia tena, kuna zao linaitwa katam, n alizeti ndogo ya miba, nayo haitakag mvua kama ilivyo dengu. Akipata nafasi ailime ile kwa wingi kuliko dengu.
Kwa sasa gunia la dengu n 140000 na katam kwa sasa anatembea kwa 250000.
Ko aongeze kitu kichwan
Hio katam inapatikana kwa mawakala wa mbegu mkuu. Japo kwa sasa jamii n kama imechangamka sana kiasi kwamba 90% ya wakulima wanazo. Ukobonga vzr na wananchi (sio mashabik wa yanga lkn) watakupa diraSaidia mbegu ya katam inapatikana wapi, kwa ufupi mazao au mbegu zinazostahimili ukame ndio zinafaa kwa sasa maana mvua mwaka huu zitakua chache kama ulivoshauri watu wawahi kupanda maana mambo sio mambo
Mkuu upo sahihi. Alizeti kwa eka ni gunia 3 mpaka7 za kilo 70. Mafuta ni lita 15-20 kwa gunia.Pigia wastani wa gunia 4 hadi 5 tuseme hapo ndio imekubali.
Mwaka jana nililima alizeti za kienyeji lakini nilivuna Mavuno sawa na walio lima hybrid.
Nilikuwa najaza gunia zenye wastani wa kilo 65-71 ambazo zilikuwa zinatoa lita 19-22
Tafuta mkulima wa alizeti mzoefu wa kati au mkubwa hasa wa nyumbani umchimbe sana kisha utupe mrejesho.Mkuu ulitumia mbegu gani inayotoa lita 15 - 20 kwa gunia?
Na ujazo wa gunia ni debe ngapi? 6 au 8?
Hapo maana yake gunia moja ni sawa na dumu moja la lita 20
Najua wingi wa mavuno unatokana pia na ubora wa aridhi, ulilima wapi mkuu?
Mi nalima kwenye mbuga na ipo vizuri sana kama nvua hazitakua nyingi
Gunia 3 - 7 sio wastani mzuri kama aridhi ipo vizuri
Stoo ipo ya kuhifadhi wastani wa gunia 500 ipo mkuu tena free, gharama ya kuvuna kupiga na kupakia hadi stoo nimeiweka hapo
Mchango wako umenifanya nitafiti tena kwa kina wastani wa gunia ngapi kwa ekari
Na wastani wa mafuta kiasi gani kwa gunia
Hapa ndio pakujua kama inalipa au la
Kuuza mbegu ni hasara zaidi bora kukamua mafuta
Sawa mkuu
Ni kweli kabisa.Mkuu upo sahihi. Alizeti kwa eka ni gunia 3 mpaka7 za kilo 70. Mafuta ni lita 15-20 kwa gunia.
Ili Hizo hybrid ili zitoe mavuno makubwa kama gunia 10-15 ni labda mtu alime kitaalam na kwa gharama kubwa za mbolea au hali ya hewa iwe nzuri, adhibiti ndege au eneo liwe na rutuba nzuri mno hasahasa udongo mweusiiiii tiiii kama samadi.
Huo ndio ukweli. Hizo hesabu zake sio sahihi arudie kufanya utafiti.
Aisee hebu type dira wapi tunaweza kupata hiyo katam maana hiyo hata ndege hawasogeiKingine cha kumsaidia, alime mapema coz naona kapigia hesab na dengu. Ko akalime saiv ili mwez wa 2 aondoe alizet apachike dengu chap...
Cha kumsaidia tena, kuna zao linaitwa katam, n alizeti ndogo ya miba, nayo haitakag mvua kama ilivyo dengu. Akipata nafasi ailime ile kwa wingi kuliko dengu.
Kwa sasa gunia la dengu n 140000 na katam kwa sasa anatembea kwa 250000.
Ko aongeze kitu kichwan
Ni aina gani ya mbegu?Leo nimenunua 1kg kwa 40,000
Heka moja 5-6Kg
Uko maeneo gan kwan wwAisee hebu type dira wapi tunaweza kupata hiyo katam maana hiyo hata ndege hawasogei
Kilimo!! Mvua zikizingua?
Sijaona gharama ya mbolea wala Madawa!! Au ndo hiyo 2m ya pembeni?
Huo unakua ni mzaha.. ila Jamaa kasema analima kwenye madude gani sijui kwahiyo mvua sio issue.Mtu akisema very serious halafu anategemea mvua ndo simuelewi kabisaaaa
Dar wanauza sehem gani? Nataka hyesun 33 hyoMLETA MADA KANUNUE MBEGU SERIKALINI BEI RAHISI HIZO HIZO KINA HYESUN N.K
Mkuu Mimi Ni alima Alizeti miaka yote naMkuu upo sahihi. Alizeti kwa eka ni gunia 3 mpaka7 za kilo 70. Mafuta ni lita 15-20 kwa gunia.
Ili Hizo hybrid ili zitoe mavuno makubwa kama gunia 10-15 ni labda mtu alime kitaalam na kwa gharama kubwa za mbolea au hali ya hewa iwe nzuri, adhibiti ndege au eneo liwe na rutuba nzuri mno hasahasa udongo mweusiiiii tiiii kama samadi.
Huo ndio ukweli. Hizo hesabu zake sio sahihi arudie kufanya utafiti.
Kwa DAR walikuwa karibu Marie Stops ngoja Ni cheki na jamaa takujuza mkuuDar wanauza sehem gani? Nataka hyesun 33 hyo
Shukran, nichekieMkuu Mimi Ni alima Alizeti miaka yote na
Kwa DAR walikuwa karibu Marie Stops ngoja Ni cheki na jamaa takujuza mkuu