Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

Ano
Haya kama mlivyosoma ni kweli

Hakuna biashara ina hela kama mapapai

Na hakuna biashara rahisi kama papai

Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja
Mtaani wanauza tsh 3000 moja

Kilimo chake rahisi sana ila usilime wakati wa mvua, papai inataka maji kidogo tu kwa siku

Mbolea sio sana mche wa papai tsh 3000 mmoja

Sasa endelea kusema maisha magumu, nimekaa pale youtube uje nakufundisha kupata hela
Another Motivational speaker.
 
Wengi hamuamini kama jamaa anaingiza hiyo hela, inawezekana mlipigwa matukio kwenye parachichi na tikiti maji , ila kilimo ukifanya kisomi kinalipa sana msikate tamaa jaribu tuu na ni bora kuliko kuajiriwa
Ameeeeen
 
Back
Top Bottom