Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .
Mimi ni Pro- Qualifications.
Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekuwa na Mawaa.
Huyu Mama kama angeendelea kuwa Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo, kinachombeba ni kuwa sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.