JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Ewaaah.hapa sawaKwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .
Mimi ni Pro- Qualifications.
Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekua na Mawaa.
Huyu Mama kama angeendelea kua Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo , kinachombeba ni kua sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.