Naiomba sana Tanzania Impeleke Dkt. Gwajima D pale WHO -Africa

Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .

Mimi ni Pro- Qualifications.

Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekuwa na Mawaa.

Huyu Mama kama angeendelea kuwa Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo, kinachombeba ni kuwa sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.
Uongozi ulimshinda alipokuwa w/afya akidhani kusafisha uozo ni kuuanika hadharani, ikawa wafanyakazi wote wa afya akawa adui yao.
Uongozi huhitaji busara.
 
Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .

Mimi ni Pro- Qualifications.

Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekuwa na Mawaa.

Huyu Mama kama angeendelea kuwa Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo, kinachombeba ni kuwa sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.
Tafadhali Naomba ushirikiano wako hapa 👇
 
Attachments

  • IMG-20241205-WA0051.jpg
    IMG-20241205-WA0051.jpg
    102.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom