Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Vetting ya WHO kwake itaanzia hapa.Yule aliyekuwa anapiga nyungu hadharani wakati wa CORONA ndio akaongoze WHO? Thubutu,WHO wanaamini kwenye science hawaamini mambo ya abracadabra. Labda akagombee kwenye jumuia ya masangoma wa Africa huko atashinda
View attachment 3167563