Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ndo nipo hapa kumtetea asije akaenda huko tukaaibika. Yupo vizuri kwenye nafasi ambayo anayo sasa hivi. Hilo halina ubishini mwanamke mwenzako mtetee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nipo hapa kumtetea asije akaenda huko tukaaibika. Yupo vizuri kwenye nafasi ambayo anayo sasa hivi. Hilo halina ubishini mwanamke mwenzako mtetee
kule cyo mkutano mkuu wa ccmKwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .
Mimi ni Pro- Qualifications.
Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekua na Mawaa.
Huyu Mama kama angeendelea kua Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo , kinachombeba ni kua sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.
DiqsualifiedKwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .
Mimi ni Pro- Qualifications.
Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekua na Mawaa.
Huyu Mama kama angeendelea kua Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo , kinachombeba ni kua sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.
Janabi anastaafu kesho.Nakuunga Mkono 100%..
Ni aidha Gwajima au Janabi
Jamani kwani kwa Ndugu lile walifanya je na kuweza vipi? Kabla Ndugu lile hajashinda huo ukurugenzi wa WHO kanda ya Africa. Kwa wengi alikuwa mbunge na mtu wa kawaida Sana. Mara paaa kawa mkurugenzi wa WHO Africa hajakanyaga ofisini na kifo hicho kikamchukua. The guy rose from zero to a hero.Hayo ni mawazo ya watanzania, thinking wana vyo lobby kwenye mifumo ya ndani, ndivyo wataweza kwenye mashirika ya nje( kumbe ni tofauti kabisa)
Do you know how he rose?Jamani kwani kwa Ndugu lile walifanya je na kuweza vipi? Kabla Ndugu lile hajashinda huo ukurugenzi wa WHO kanda ya Africa. Kwa wengi alikuwa mbunge na mtu wa kawaida Sana. Mara paaa kawa mkurugenzi wa WHO Africa hajakanyaga ofisini na kifo hicho kikamchukua. The guy rose from zero to a hero.
Why not.Do you know how he rose?
Kwanini isiwe wewe Mkuu?Nakuunga Mkono 100%..
Ni aidha Gwajima au Janabi
Oh please, try to be serious. Who proposed him then? Those posts your reliable guarantor / referee is your own country.Unfortunately it will not be easy to get someone with credentials similar to Dr Faustine. Remember Dr Faustine was not proposed by the country. Let’s wait and see.
Hii inaitwa staring to work on your resume.Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .
Mimi ni Pro- Qualifications.
Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekuwa na Mawaa.
Huyu Mama kama angeendelea kuwa Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo, kinachombeba ni kuwa sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.
Fresh asee, Mishe vip...?Mambo dear
Kweli. Kama ni bahati haiji mara mbili.Hio nafasi tuisahau tu , kwa ufupi ndio imetoka hivyo!
PoaFresh asee, Mishe vip...?