Naiomba sana Tanzania Impeleke Dkt. Gwajima D pale WHO -Africa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .

Mimi ni Pro- Qualifications.

Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekuwa na Mawaa.

Huyu Mama kama angeendelea kuwa Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo, kinachombeba ni kuwa sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.
 
Mnataka kuigeuza WHO iwe CCM B?

Alafu hivyo vyeo washaanza kucheki na afya.. umtakaye atakubali kupimwa India?
 
Hivi ni lazima atoke CCM au awe mwanasiasa? NB: Nikifananisha DR Gwajima na na majina ya wengine wa CCM waliotajwa, huyu ndiyo bora kabisa.
 
Nakuunga Mkono 100%..
Ni aidha Gwajima au Janabi
 
Dkt. Gwajima D
 
Anajua Kingereza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…