Vetting ya WHO kwake itaanzia hapa.Yule aliyekuwa anapiga nyungu hadharani wakati wa CORONA ndio akaongoze WHO? Thubutu,WHO wanaamini kwenye science hawaamini mambo ya abracadabra. Labda akagombee kwenye jumuia ya masangoma wa Africa huko atashinda
View attachment 3167563
Usimdanganye. Au kwa vile ni mwana JF mwenzetu? Hata aliyemweka hapo alipo kwa sasa hawezi kuthubutu kumpeleka WHO kushindana kwa niaba ya Tanzania.Kwani WHO wamesema hii nafasi ni ya kurithishwa? Kama la, sina hofu na Dr Gwajima, wakitangaza aombe, dunia tunapita akishinda mimi ni nani eti nikasirike mtu akipigania ugali wake? Nenda mama
Najua sana ila wanasiasa wako kila mahali. Too much. Na chama anachotoka ni haramuGWajima Ni mwanasiasa Ila Pia Ni mwanataaluma wa Afya wa Muda Mrefu mwenye Uzoefu wa Muda mrefu
🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️ ivi Wa Tanzania mnajua uko WHO mnapitishana kama ccm ache ujinga fanyeni mamb mengneKwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .
Mimi ni Pro- Qualifications.
Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekua na Mawaa.
Huyu Mama kama angeendelea kua Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo , kinachombeba ni kua sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.
Wala asiende WHO, arudishwe tu wizara ya afya kwani Mama wa per diem (Ummy) alipaharibu mno.Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .
Mimi ni Pro- Qualifications.
Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekua na Mawaa.
Huyu Mama kama angeendelea kua Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo , kinachombeba ni kua sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.
Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .
Mimi ni Pro- Qualifications.
Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekua na Mawaa.
Huyu Mama kama angeendelea kua Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo , kinachombeba ni kua sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.
Unayo hiyo cv ya Dr Gwajima D?Mkuu Sina shaka na CV ya Dkt.Gwajima !.
Dr Mollel yuko makini kabisa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule aliyekuwa anapiga nyungu hadharani wakati wa CORONA ndio akaongoze WHO? Thubutu,WHO wanaamini kwenye science hawaamini mambo ya abracadabra. Labda akagombee kwenye jumuia ya masangoma wa Africa huko atashinda
View attachment 3167563
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Samia naye miyeyusho, yule mgoni Jenista Mhagama kuwa waziri wa Afya ni dharau na fedheha kwa nchi yetu. Mwl wa shule ya msingi tena wa Kiswahili? Hizi ni dharau kwa watanzania. Yule mama ni empty or null set
İle kazi ina sifa zakeKwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .
Mimi ni Pro- Qualifications.
Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekua na Mawaa.
Huyu Mama kama angeendelea kua Wizara ya Afya, baadhi ya madudu yanayoendelea kwenye Sekta ya Afya yasingekuwepo , kinachombeba ni kua sekta hii ya Afya, anaijua vilivyo.
wanaotajwa ni mollel na kigwangala, vipi ummy hawezi kupata nafasi hiyo? Mbona ni mchapa kazi mzuri tuHivi ni lazima atoke CCM au awe mwanasiasa? NB: Nikifananisha DR Gwajima na na majina ya wengine wa CCM waliotajwa, huyu ndiyo bora kabisa.
ni mwanamke mwenzako mteteeGwajima aendelee na matatizo ya ukatili kijinsia na maadili. Anayaweza sana
Inaonesha hujui qualifications za hiyo kazi. Şifa ulizozitaja ni disqualifications kwa hiyo kaziKwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .