Mwezi umepita nililala na mwanamke bila Kinga, mpaka leo nikikojoa panauma.
Je, inaweza kua UGONJWA gani?
Una kinyama ndani hilo naniu kimekaa humo si uliingiza ndani ya nyama au?Mwezi umepita nililala na mwanamke bila Kinga, mpaka leo nikikojoa panauma.
Je, inaweza kua UGONJWA gani?
Kajipiga kitanziKumbe ulimgonga malay kavu daah kweli ulijirisk🙂
Yep azuma inatumikaga mkuuWengine wanasema gonorrhea ninywe azuma
KazinguaKajipiga kitanzi
Umepiga nyama na upanga wako bila kuuvesha nylon mzee wa mabucha mengi sasa umekutana na nyama imevunda imeoza ikaoza tena jiuguze taratibuWengine wanasema gonorrhea ninywe azuma
Nataka kesho nikanunue azuma tuYep azuma inatumikaga mkuu
UTI naijua dalili zake hapaumagi kwenye mashine labda homaUTI nenda katibiwe na unywe maji mengi usafishe hiyo njia
Oya sio poaKumbe ulimgonga malay kavu daah kweli ulijirisk🙂
Nenda hospital ukaondoe hilo tatizo azuma sio mwisho wa tatizo labda una tatizo kubwa kuliko kutumia azumaNataka kesho nikanunue azuma tu
Bro nina mwezi sasa panauma na dawa sijanywaPole sana.
Kama ulilala na mwanamke bila ya kinga basi huenda umeambukizwa magonjwa ya zinaa.
Kwa hiyo ni muhimu ukafika kwa daktari akufanyie uchunguzi na vipimo hatimaye upatiwe matibabu sahihi.
Pia kama utaweza kumshauri naye (huyo mwanamke) akaonane na daktari itakuwa vyema sana.
Kila la kheri.
Pitia Azuma kwanza bugia kama pipi kisha urudi tukuelekeze kuacha kula kavuMwezi umepita nililala na mwanamke bila Kinga, mpaka leo nikikojoa panauma.
Je, inaweza kua UGONJWA gani?
Mwezi umepita nililala na mwanamke bila Kinga, mpaka leo nikikojoa panauma.
Je, inaweza kua UGONJWA gani?
Sawa bro, nilijua atapona ila ndio panazidi kuumaNenda hospital ukaondoe hilo tatizo azuma sio mwisho wa tatizo labda una tatizo kubwa kuliko kutumia azuma
Gono sugu hio muulize Kalpana analijuaUTI naijua dalili zake hapaumagi kwenye mashine labda homa
Sawa broPitia Azuma kwanza bugia kama pipi kisha urudi tukuelekeze kuacha kula kavu
Wee solution there is to continue eating bubu mpaka wadudu wajifie wenyewe....kula mbususu tuuWengine wanasema gonorrhea ninywe azuma