Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

Alishiriki wapi kuziandika hizo sheria kamanda? alukuwa anaziandika kama nani? maana ubunge kapewa juzi na Samia.
We hujui. Kwenye serikali ya ccm hata Mwenyekiti wa kijiji anaweza kuwa baraza la mawaziri na akachangia mswaada wa sheria.
 
Viroboto mpooo?
 
Hii ni aibu sana,wapiga kura wanashindwa kuelewa chadema wanataka nini,wao badala ya kuchukia kitu polepole anachoongea wao wanamchukia muongeaji ,chadema kutoka shimoni sio leo mtasugua sana matako.
Kwahiyo Chadema ndio TCRA?? 😅😅
 
Kama mafundisho ni hatari kwa utawala uliopo ataonewa tu hakuna namna. Yeye hakuonea waliohatarisha utawala wa awamu ya 5?
 
Huo ujinga sifanyi,atetewe na mashetani wenzake.
 
Hii ni aibu sana,wapiga kura wanashindwa kuelewa chadema wanataka nini,wao badala ya kuchukia kitu polepole anachoongea wao wanamchukia muongeaji ,chadema kutoka shimoni sio leo mtasugua sana matako.
Kwani umesahau kama huyo alikuwa mratibu mamba Moja WA maovu dhidi ya wapinzani na wakosoaji wa awamu ya Tano🤔.Au ulikuwa usingizini wakati ule.
 
Unapokomenti jambo punguza munkali,umechanganya mambo sana kama una chuki na mtu binafsi mrekebishe kwa upole,umekuja na povu la bluu na macho yamekutoka vipi bhana.ehe haya Anza upya.
mmh???
 
Na Polepole kama Katibu wa itikadi na uenezi alifurahi sana akidhani Chadema ndio wataumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…