Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

Hivi kumbe kuna watu waliokuwa wanamfuatilia Polepole na kumuamini!!!
 
Nadhani katika vyote ni kuwa Polepole hana tena ushawishi kama anavyodhani. Haaminiki tena. He lost public trust long time ago.
Mi nnachokiona ni suala la hang over ndo linamtesa. Imagne mtu aliyekuwa na uwezo wa kunywa chai Ikulu miezi kadhaa nyuma eti leo ghafla UVCCM walishampa onyo, shaka kamkemea, TCRA hawamtaki aongee, kuchanganyikiwa ni lazima
 
Inauma sana na yule tuliyemtegemea akiwa na yeye ni mwathirika wa haya lakini hana nia yoyote yakuleta mabadilko. Uchumi wa nchi hautainuka bila watu kuwa huru kimawazo
 
Mi nnachokiona ni suala la hang over ndo linamtesa. Imagne mtu aliyekuwa na uwezo wa kunywa chai Ikulu miezi kadhaa nyuma eti leo ghafla UVCCM walishampa onyo, shaka kamkemea, TCRA hawamtaki aongee, kuchanganyikiwa ni lazima
Stress zinamtesa. Ubongi wake hauna uwezo wa kucope hard situations. Angekuwa ni yeye analala selo kama wanavyowadanyia wengine angekata roho.
 
Wacha wagonjwa wanyweshane uji wenye sumu.

Wametunyanyasa kipindi kirefu sana kwa kujivunia malaika wao.

Sasa wacha na wao waonje madhara ya kunyanyaswa ili akili iwarudie.
Kikubwa ni kuwa hayo wanafanyiana wao kwa wao. Ingekuwa ni sisi tunawafanyia wao wangesema tuna visasi
 
Ukandamizaji wa uhuru wa habari na haki zingine uliratibiwa na kuimarishwa awamu ya Tano chino ya uratibu wa akina polepole.
 
Sheria tumezipitisha wenyewe

Kwa hiyo lazima tuwe wapole na tuzitii

Ova
 
Ndege mjanja hunaswa tundu bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…