Manake hta mhindi naye atasema hawez kuja kuishi kwa nchi ya wala binadamu wenzaoIndia ina GDP kubwa lakini wana poor social services na ukosefu mkubwa wa ajira.
Ilhali Tz ina uafadhali.
India ni kama Kenya tu.
Tizama hapa chini.
Hivi ndio mm niiache Tz niende India?
Kama walivyokukodi wew sio
Kwani wale watu wausi marekani sio wamarekani?
Ngoja nikueleweshe vizuri, labda utanielewa.Nikuulize swali?
Mohammed Dewji ni mtanzania au ni mhindi?
Jibu swali kw ufasaha mkuu...tanzania inaizidi nn india
Manake hta mhindi naye atasema hawez kuja kuishi kwa nchi ya wala binadamu wenzao
Ni mhindi
Sio kosa lako ni akili yako.Ni mhindi
Mhindi kiasili ama mhindi kiuraia?
Sio kosa lako ni akili yako.
Maelezo yapi hapo hujayaelewa kijana?
Acha utani bhanaa.
Nimekwambia tulichoizidi sisi Tz India ni good social services na good life standards.
Nimekuonesha hali ya maisha ya India poor life standards vitu km hivyo Tz hakuna.
Sijui wapi unajikuta huelewi?
Kwn kuna mtu ambae ni mhindi ki uraia...mbna hujielewi wewe...
Hayo ni maneno yako..tuletee data hapa...ujue hko kijiweni hapa
Nitajie Mtanzania mweusi rangi ya kikwete au Magufuli mwenye Mali Kama Mo Dewji πππ ama hamna?Wazungu wanawamiliki hadi wanachukua wake zenu [emoji23][emoji23][emoji23] hv yule mama alomuua mzungu kisa pesa anaenda jela miaka mingap??
Na ww mtaje mkenya mwenye mali atleast km Bakhresa.Nitajie Mtanzania mweusi rangi ya kikwete au Magufuli mwenye Mali Kama Mo Dewji [emoji23][emoji23][emoji23] ama hamna?
Km wataka sema...
Nitajie Mtanzania mweusi rangi ya kikwete au Magufuli mwenye Mali Kama Mo Dewji [emoji23][emoji23][emoji23] ama hamna?
Ushai ona hii wapi kwa hapa Tz?
We jamaa mbona una poor reasoning !?
We fala nn!!
Kwani huyo Cohen alouliwa na mkenya mwenzenu janamke katili lisilo na haya si mkenya kiuraia lakini Mzungu kiasili?!
Halafu ndio mnajiita mna akili ninyi wakenya!!
Shame on you.
Hii India inayoiponda hivi inaunda magari ,ndege ,vifaa vyao vya kijeshi na kurusha vyombo vya angani hadi kwa mwezi.Tanzania haina hivyo vyote .India ina GDP kubwa lakini wana poor social services na ukosefu mkubwa wa ajira.
Ilhali Tz ina uafadhali.
India ni kama Kenya tu.
Tizama hapa chini.
Hivi ndio mm niiache Tz niende India?
Kuna wasukuma ni Wamarekani.Kwhyo moh ni msukuma?