babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Hata penye umeenda shule hivo hujawahijua Danganyikans are lazy bones
Acha ubishi kijana wahindi walibakia East Africa.Nieleze, Muhindi amekuja Tanzania lini? Hao Wahindi wako Tanzania wamefika Tanzania mwaka gani? Jifunze historia Kijana,
Wahindi waliokuja kufanya barter trade hawakubakia Afrika Mashariki bali walirudi kwao na wengine wakaenda visiwani kama Maldives, comoros na Mauritius. Wahindi waliobaki humu waliletwa na Mzungu.Kama ni Barter trade bado kuna wazungu na Wachina waliofika miaka ya awali kabla ya Wakoloni pia.
But he is Tanzanian, regardless of his race.
Tangu lini wakenya mkajua history ya Africa [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamezaliwa Tanzania alafu unaleta poyoyo zako hapa.
Rostam Aziz net worth $900M na wala hutamsikia mkenya yyte mwenye iyo mawe kama yuko mleteni
Is Arab a country?
Umekwepa mada na emojis...
Mhindi anawakeketa ipasavyo..
Punguza jazba lkn
Matajiri wa kiTz waswahili wapo man ila sio wakujitangaza.Weka Watanzania weusi wazawa na wakulia na waliotajirikia Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua hamna na ndio nakucheka...bure kabisa.
Kwan Kenya nchi ya wazungu???Je tanzania ni nchi ya waarabu
Kwan Kenya nchi ya wazungu???
Mbona wapo na wanamiliki utajiri wao huko kwenu ??
Au haujasoma types of citizenship??
Wewe ndio kilaza namba humu jf [emoji23][emoji23][emoji23]
Ardhi yenye rutuba nzuri inamililikiwa na wazungu, huku nyie mkitupwa gorokocho.
Mnapepewa Mpapaso kila kona.
Solve hili tatizo kwanza halafu ndio uje kujisifia hapaTotal wealth
Nairobi US$49bn
Dar US$24bn
Kampala US$16bn
Addis Ababa US$14bn
Taja hao wengine usiwe selective ili kuficha ukweli.
Wazungu wanawamiliki hadi wanachukua wake zenu [emoji23][emoji23][emoji23] hv yule mama alomuua mzungu kisa pesa anaenda jela miaka mingap??Umekwepa mada na emojis...
Mhindi anawakeketa ipasavyo..
Punguza jazba lkn
Kwhyo umeamua twende battle...tz vs ke..
Matajiri wenye asili ya kiafrika
Na bado wachina wanaongezeka kulamba kenya yote
Wazungu wanawamiliki hadi wanachukua wake zenu [emoji23][emoji23][emoji23] hv yule mama alomuua mzungu kisa pesa anaenda jela miaka mingap??
We kijana mbona unahama hama?Kwhyo umeamua twende battle...tz vs ke..
Matajiri wenye asili ya kiafrika
We kijana mbona unahama hama?
Wapi nimetaka battle?
Km unataka battle la matajiri weusi kat yenu na yetu we jaribu kutembelea maeneo wanaokaa blackish wanaojiweza wa Tz halafu kafananishe na wa Kenya.
Maana sisi hatujifaragui km ninyi.
Na mtu wa kawaida ama wa uchumi wa kati wa Tz ana assets nyingi kumliko wa Kenya.
Kibamba,Mbezi mwisho makabe,Temeke Aziz Ally & mwisho,Kigamboni kisiwani,kijichi.Haaaa!!!mbna povu lkn...
Haya yataje hayo maeneo...duniani sai humdanganyi mtu
Kibamba,Mbezi mwisho makabe,Temeke Aziz Ally & mwisho,Kigamboni kisiwani,kijichi.
Maeneo sijui ya osterbay,masaki,sinza n.k n.k huko wanakaa watu wanaojulikana sana huko paache.
Tembelea hayo maeneo ya watu hao ambao hawana umaarufu halafu usikie vile biashara wanazomiliki na assets.
Na vile wanavyoficha hela ndani.