Naisha na single mother ila sasa mwanae ni mtundu balaa, nikimuonya mama yake anakuja juu

Ukitaka kuwa na amani kwenye hayamaisha ishi ukiwaona binadamu wote sawa kuwa na upendo


Mkuu tulivoagizwa tupendane jibu rahis ndiyo njia ya kuwa salama kihisia hata unapopitia magumu na usiyoyaoenda Kwa namna nyingi

Nikuulize huyo mtoto angekuwa ni damu Yako anavunja vitu na anafanya Fujonkiasi hiko ungefanyaje??
 
Maisha unaishi wewe ,, ushauri unatuomba sisi ambao hatukujui wewe , Mkeo Wala huyo mtoto.

Jibu swali je huyo single Maza ana chura?
Swali zuri Sana akikujibu ni tag hisije kuwa mtu mwenyewe NI masoksi .kapigwa pasi
 
.nishatoa vyombo vya plastics kwa ajili ya mtoto yeye anampa vya udongo kwa nn sasa hata mwanangu lazima ningeongea
 
Fanya maamuzi haraka.
 
Wewe ni mpumbavu kweli kweli, huudhurii vikao vya wanaume ? Hakuna rangi utaacha kuona
 
Hili ndio tatizo kubwa la singo maza. Hataki umguse mwanae. Ukimgusa anasema au kwa kuwa sio mwanao.
 
ukipenda UA lazima upende na tunda lake bro 😀 😀 😀
 
Anyway, pole bro. hapo lazima utambue saikolojia ya leftover (single mother) anacho tegemea kwako ni wewe umpende na kumjali yule mtoto kuliko hata mama yake, ukifanya hivyo ndo atajua umempenda kweli. hata kukupa hadhi ya baba wa mtoto huyo.
tofauti na hapo mambo yatakuwa kama ulivyo sema na in most cases yeye ndo atakuwa mlezi wa huyo mtoto, na ndo wale watoto huwa mara nyingi wanakuwa na mentality za mama zao
 
Wewe ni me? Mbona una misemo ya kike hivyo?
 
Hizi habari za single maza file lake lilishafungwa. Nenda katafute huko kwenye makabati lilishatolewa maamuzi.
Watu hawataki kujifunza , ni kama kenge hasikii mpaka aone damu zinamtoka masikioni
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…