Naishauri Serikali isiwatumie ambao sio watumishi kwenye sensa, maeneo mengi wameharibu kazi na hakuna njia ya kuwajibisha

Naishauri Serikali isiwatumie watu ambao sio watumishi wa umma kwenye zoezi la sensa na sababu ni hizi.
1. Wengi wanaomba maeneo ambayo hawayajui hivyo wanalipua ili wawahi kuondoka mfano mtu anakaa Dar es Salaam anaomba kazi ya sensa Matombo hapa atalipuwa ili amalize haraka aondoke.

2. Watumishi wenu wa umma wao wanafungwa na kanuni za kiutumishi kuwa watiifu hata akiharibu ipo namna ya kumuwajibisha.

3. Watumishi wengi wako kwenye maeneo yao ya kazi (within localities) hivyo kuongeza tija ya kazi ubora na ufanisi.

4. Kuna maeneo sensa ya makazi wameharibu kwasababu wamepewa kazi kwa kujuana na mabosi wa halmashauri walipoharibu wakatumwa walimu warudie tena bila malipo yoyote msipowafikiria hawa kazi ikiharibika tena itatafsirika mnaihujumu Serikali makusudi.
Mkuu naona unajipigia debe mwenyewe duuuuuuh hii nchi ngumu Sana
 
Ni kweli uyasemayo mkuu ila tutakula wapi sasa sisi tusio na kazi
 
Uchangiaji wa uzi huu umejikita Kwenye hasira na kutetea maslahi kuliko ubora wa kazi na (how should one be held accountable for misconduct?) Ila kwakuwa wengi hamna kipato rasmi na pengine mliomba huko mna haki ya kutoa povu ila zoezi la sensa linabeba moyo wa namna bora ya kuigawa keki ya taifa sasa nendeni mkaharibu kazi halafu serikali ipate ureliable data hii itatuumiza wote acheni kulilia majukumu ambayo hamtayafanya kwa weledi mkaharibu kazi za kitaifa kama mnadhani kila mtu ni mwalimu kisa kachalenji ur interest then ur all stupid and naive!!!!!
 
Naishauri Serikali isiwatumie watu ambao sio watumishi wa umma kwenye zoezi la sensa na sababu ni hizi.
1. Wengi wanaomba maeneo ambayo hawayajui hivyo wanalipua ili wawahi kuondoka mfano mtu anakaa Dar es Salaam anaomba kazi ya sensa Matombo hapa atalipuwa ili amalize haraka aondoke.

2. Watumishi wenu wa umma wao wanafungwa na kanuni za kiutumishi kuwa watiifu hata akiharibu ipo namna ya kumuwajibisha.

3. Watumishi wengi wako kwenye maeneo yao ya kazi (within localities) hivyo kuongeza tija ya kazi ubora na ufanisi.

4. Kuna maeneo sensa ya makazi wameharibu kwasababu wamepewa kazi kwa kujuana na mabosi wa halmashauri walipoharibu wakatumwa walimu warudie tena bila malipo yoyote msipowafikiria hawa kazi ikiharibika tena itatafsirika mnaihujumu Serikali makusudi.
Umenena vyema kabisa hili zoezi la kitaifa sio maigizo...graduates tunawapenda ila kwenye hili zoezi wakae pembeni
 
Hapa hatuongelei majungu kuna maeneo hao unaowapigia chapuo wameharibu kazi unakuta mtaa mzima haujajazwa na sehemu nyingine nyumba nyingi wamejaza sijui sijui sijui sijui sijui ili kupika data wawahi kuondoka mimi Sina maslahi ya utumishi wa umma ila hela ya serikali lazima itumike kwa tija mifano ipo wazi na serikali inajua kuitaja hapa ni kuwaweka watu matatizoni.

Sasa nikuambie wasimamizi wakuu ndobwamefelisha hilo zoezi.. imagine kuna mahali watu wamelipwa 80 elfu for two weeks na hata hiyo hela inalipwa unategemea nn
 
Yaani waniache mm niliyefaulu hesabu vizuri na nimeanza kutumia computer tangu la nne. Wakupe wewe mwalimu wa kiswahili uliyepata f ya hesabu na unatumia nokia ya tochi hivi uko serious kweli
 
Umenena vyema kabisa hili zoezi la kitaifa sio maigizo...graduates tunawapenda ila kwenye hili zoezi wakae pembeni
hivi graduate was computer science, mathematics, statistics, accounting na etc. Ni duni kwa kazi ya takwimu kuliko mwalimu wa kiswahili kweli walimu mmekua watu wa hovyo kisia kwamba CCM imeishia kuwadharau na kuwafanya kuwa chawa wa kuu
 
Ile 2012 tulifanya hivi

1.Kuhusu utambuzi wa maeneo iko hivi.
Officer anapewa ramani anapoenda kufanya kazi ramani inamsaidia kutambua eneo lake
Kuhusu ufanyaji kazi mjumbe wa nyumba kumi au mtaa anahusika

2.Kazi inapokusanywa inapitiwa na masupavaiza [emoji1][emoji1].Sasa mtu anayeharibu inakuwa vipi anashindwa kuwajibishwa wakati data zake zipo na kazi yake inaangaliwa?
 
Naishauri Serikali isiwatumie watu ambao sio watumishi wa umma kwenye zoezi la sensa na sababu ni hizi.
1. Wengi wanaomba maeneo ambayo hawayajui hivyo wanalipua ili wawahi kuondoka mfano mtu anakaa Dar es Salaam anaomba kazi ya sensa Matombo hapa atalipuwa ili amalize haraka aondoke.

2. Watumishi wenu wa umma wao wanafungwa na kanuni za kiutumishi kuwa watiifu hata akiharibu ipo namna ya kumuwajibisha.

3. Watumishi wengi wako kwenye maeneo yao ya kazi (within localities) hivyo kuongeza tija ya kazi ubora na ufanisi.

4. Kuna maeneo sensa ya makazi wameharibu kwasababu wamepewa kazi kwa kujuana na mabosi wa halmashauri walipoharibu wakatumwa walimu warudie tena bila malipo yoyote msipowafikiria hawa kazi ikiharibika tena itatafsirika mnaihujumu Serikali makusudi.
Mkuu watu waliochukuliwa kwenye zoezi la posti kodi walisotiwa tu bila kujali vigezo vilivyokuwa vimeainishwa sijajua ni kwa sababu ya uhitaji wa haraka wa zoezi? Ndiyo maana ufanisi ulipungua
 
hivi graduate was computer science, mathematics, statistics, accounting na etc. Ni duni kwa kazi ya takwimu kuliko mwalimu wa kiswahili kweli walimu mmekua watu wa hovyo kisia kwamba CCM imeishia kuwadharau na kuwafanya kuwa chawa wa kuu
Muda mwingine huwa nafkiria sana, Kisha najipigapiga kifuani kujipongeza kwa kutosomea ualimu. Hivi walimu hata kama walitufundisha sjui wanajiona akina nani, sio Hawa walioongoza kutupikia uchaguzi mkuu wa 2020? Hiyo credibility Yao kwenye hili zoezi inatoka wapi. To hell wote wanaotetea hii pumba! NBS wanajua wao wanachokifanya, msijifanye kuwafundisha Cha kufanya.
 
walimu
Wanajifedhejesha sana
 
Walimu wananjaa kali ndio mana wanagombana na wazazi kuhusu mia mia za wanafunzi kwenye tuition zao uchwara
 
"Halmashauri zitakazoshindwa kuendesha na kusimamia ipasavyo zoezi hili zitawajibika kurudia kwa gharama zao wenyewe" mwisho wa kunukuu.
Kufuatia kauli hiyo, tayari kuna halmashauri kadhaa zimeagiza majina ya walimu wote yatumwe haraka.
 
WATUMISHI WENGI WA TANZANIA HASA WALIMU WANA MAISHA MABOVU SANA KULIKO SISI GRADUATES TULIOKO KITAA

THAT'S WHY WANA TAMAA NA ROHO MBAYA

HIVI NYINYI SI MMEONGEZEWA NA MISHAHARA KABISA MBONA MNA NJAA SANA ?
 
Back
Top Bottom