Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

Yani iko hivyo tu siku zote
 
Hamna cha Mungu hapo huo ni sawa na wizi, huyo jamaa si unalijua jina lake? Basi nenda hata gazetini toa tangazo kuwa kuna nyumba ya marehemu huko ili ndugu waje hapo wapigane vikumbo ...

Usiende tu kutoa ushuhuda wa kupata nyumba kirahisi zaidi kwa Mwamposa..
.
 
Ningejua nisipoteze wino wangu
 

Attachments

  • Screenshot_20241211-110307_Facebook.jpg
    123.6 KB · Views: 2
Kama ni kweli basi wewe ni kichaa.kama unajua ndugu zake hawafahamu inabidi uwaambie hao ndugu zake kuwa hiyo nyumba ni Mali ya marehemu na kama watoto wa marehemu wapo uwalipe hano pango la nyumba
 
Iibe tu bloangu hata ukiwatafuta ndugu zake watafaidika wao hawatakukumbuka.

Kama marehemu aliificha hata familia yake wewe nani uwashtue,pita nayo,andaa nyaraka zake,dodo hiloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…