Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Yani iko hivyo tu siku zoteMpangaji ni dhahiri ameshaanza kupata tamaa juu ya kumiliki na si kwa ajili ya kutafuta familia yake, ama kwa hakika atakuja kuaibika vibaya maana kwa vyovyote kuna yule rafiki ambaye alimshirikisha atakuja kumuumbua, hati anajua katunza wapi zitapatikana tu
