Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

Mwivi mkubwa wewe.
Wajulishe ndugu zake haraka
 
Hauwezi kuwa umeshiriki kifo chake?

Nawaza kwa sauti tu.

Maana badala ya kuja hapa kuomba ushauri wa namna ya kuimiliki, ungekuja kuulizia anayemfahamu marehemu kwa kutoa details zake na mahali nyumba ilipo ili wanae wajitokeze uwakabidhi. Bila shaka nao wangekushukuru kwa utu wako.

Vinginevyo hii chai, changamsha genge.

Kama ukisemacho ni sahihi, majirani wanakutambuaje! Wakati ananunua kiwanja na kujenga hakuwa na majirani? Je wao hawakutambui kama mpangaji?

Na mwenza wako siku mkikorofishana jua tu atakuadhibu kwa kuanika kila kitu juani.

Ushauri ni kuwa ukifanikiwa kuimiliki kwa namna yoyote, uza potea kabisa.
 
We carry life and death...mzee mmoja alikua na viwanja na nyumba hapa town..

Watoto wake huku waambia siku moja kabla ya kufariki akasema kesho atawapeka

Aisee mzee kafariki na haijulikani ni wapi mjengo na viwanja vilipo Ila vipo aisee..
 
Tuseme hii issue haihusiani na kilimo kikuu cha Mufundi, siku ni swala la muda tu wanajua kuna hiyo nyumba. Mambo mengi siku hizi ya kwenye mifumo. Unachoweza kukwepa ni kodi tu
 
We carry life and death...mzee mmoja alikua na viwanja na nyumba hapa town..

Watoto wake huku waambia siku moja kabla ya kufariki akasema kesho atawapeka

Aisee mzee kafariki na haijulikani ni wapi mjengo na viwanja vilipo Ila vipo aisee..
Kama hati zipo au waende ofisi za Ardhi watajua
 
Ukichukua content ya mtu mahala utoe credit sio una copy unakuja kupaste huku uonekane umeanzisha wewe mazafanya
 
Na unaweza kuta mwenye Nyumba Ali mortgage bank hiyo nyumba, na siku yoyote watu wamerejesho watatia team hapo mjengoni kumuulizia mwenye nyumba!!
 
Tafuta jamaa zako Ardhi jichukulue nyumba wakija kushtuka tumia signature za nyuma utengeneze mkataba wa mauziano na marehemu, hata wakimfukua hawezi kusema hakukuuzia ila wakikuloga shauri yako.
Likibumbuluka atakua na kesi ya jinai badala ya madai!!
 
Nicheck tuwasiliane
 
Hiyo chukua mkuu ila ihamishe peleka mtaa mwingine🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…