Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Huna mkataba, nyumba si yako.Kivipi mkuu
Illegal.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna mkataba, nyumba si yako.Kivipi mkuu
Mwivi mkubwa wewe.Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Anzia hapo hapo kwa maboss wenzie utapata ndugu zakeMimi naona nimeokota sababu niliizindua mimi na yeye alikuja mara moja baada ya Mimi kuhamia nikasikia kafariki baada ya kupata taarifa kutoka Kwa maboss wenzie
😂😂😂😂😂 dah na akayabeba? Ni makalio haya ya nyama au yale huwa tunaweka juu ya kamba😹Kuna mmoja aliwahi kuokota makalio njiapanda
Hauwezi kuwa umeshiriki kifo chake?Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Tuseme hii issue haihusiani na kilimo kikuu cha Mufundi, siku ni swala la muda tu wanajua kuna hiyo nyumba. Mambo mengi siku hizi ya kwenye mifumo. Unachoweza kukwepa ni kodi tuWakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Kama hati zipo au waende ofisi za Ardhi watajuaWe carry life and death...mzee mmoja alikua na viwanja na nyumba hapa town..
Watoto wake huku waambia siku moja kabla ya kufariki akasema kesho atawapeka
Aisee mzee kafariki na haijulikani ni wapi mjengo na viwanja vilipo Ila vipo aisee..
Ukichukua content ya mtu mahala utoe credit sio una copy unakuja kupaste huku uonekane umeanzisha wewe mazafanyaWakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Unaishia kuaibikaHapo mbezi yupo mmoja hivyo hivyo, na aliishachukulia kama kaokota nyumba.
Baada ya miaka mingi walijitokeza ndugu,
True,Kama hati zipo au waende ofisi za Ardhi watajua
Mental case hio.Ukichukua content ya mtu mahala utoe credit sio una copy unakuja kupaste huku uonekane umeanzisha wewe mazafanya
Na unaweza kuta mwenye Nyumba Ali mortgage bank hiyo nyumba, na siku yoyote watu wamerejesho watatia team hapo mjengoni kumuulizia mwenye nyumba!!Hii habar kama ni ya kweli,ningekuwa mimi kwanza ile hela ya kodi ningekuwa naiweka bank kana kwamba namlipa mwenye nyumba,huku nafanya jitihada za kumpata mmliki wa nyumba hiyo
Siku wakipatikana nawaambia nadaiwa miezi kadhaa na hela yenu ipo niliihifadhi,hakika utakuwa umetenda haki mbele ya Mungu wako,na kwa neema ya Mungu huenda hata kodi iliyopita wahusika wakakusamehe kwakuwa ungekuwa na uwezo wa kuwadhulumu lkn hukufanya hivyo
Ila vyovyote itakavyokuwa haki ya mtu huwa haipotei,ipo siku tu kwa namna usiyotarajia unajikuta wenyewe hawa hapa
Likibumbuluka atakua na kesi ya jinai badala ya madai!!Tafuta jamaa zako Ardhi jichukulue nyumba wakija kushtuka tumia signature za nyuma utengeneze mkataba wa mauziano na marehemu, hata wakimfukua hawezi kusema hakukuuzia ila wakikuloga shauri yako.
Yes likibumbulikaLikibumbuluka atakua na kesi ya jinai badala ya madai!!
Nicheck tuwasilianeWakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Hiyo chukua mkuu ila ihamishe peleka mtaa mwingine🤣🤣🤣Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Likibumbuluka atakua na kesi ya kujipatia mali kwa njia za udanganyifu!!Yes likibumbulika