Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

Mkuu fanya hima kwao wakujue aisee... Siombei kitu kibaya ila kuna siku utakuja kulipia mahali maiti kwa mfumo huu ukikutana na wazazi serious wasiotaka masihara na binti zao...

Fanya hata kama ana dada zake wakujue wewe kama wako available maeneo mnayokaa au ndugu yoyote tu if uko serious unataka kumuoa sio kumchezea mtoto wawatu, sometimes you've to act as an acknowledge gentleman...
 
Umasikini wa huyo binti huyo wa 2005 ndio umemfikisha hatua hiyo ya kukaa na ww mtu mzima usiyejielewa.
 
Ishi nae tu kashashindikana kwao ndo maana wazazi wake wameruhusu aishi na lijitu lisilojulikana
 
Aisee! Nenda kajitambulishe kwa Bi mkubwa ake mkuu..akipata matatizo binti wa watu wewe ndio wa kwanza kulaumiwa
 
Kama unampenda kweli na unatambua umuhimu wake kwako ilitakiwa ukajitambulishe kwao ili ujulikane ,
Suala la kukaa kimya huku ukifurahia ukimya wa familia yake sio jambo la kujisifu
 
Wewe ni mtekaji aka Boko-haram.Fanya mawasiliano na familia ya huyo bibi na wewe ndiye ulipe ransom/fidia/kikombozi kwao.Mengine utashauriwa zaidi.
 
Una umri gani kwanza maana nisije kukupa ushauri au kukutusi kumbe ni katoto ka 2000 kama huyo mwenzako
 
Ivi kumbe watoto wa 2005 wameshafikia kuwa halali kwa matumizi eeeeh
 
Akiumwa ama kukufia itakuwa shida sana, chukua namba yake mpigie, muahidi siku utafunga safari kwenda kumuona na kujitambulisha, mmbebee sukari na vijizawadi uchwara ! Na ukishamuahidi jipange uende kweli !!!! All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…