Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

Tatizo la mabinti wengi kukosa upendo wa baba zao ndio hupelekea haya kutokea, kama wababa wote wakiwapenda binti zao basi mabinti wengi watanusurika na jamii ya wanaume kama huyu mtoa Mada.
 
Miezi 6 bado ni muda mfupi kuweza kujuana vizuri. Huyo mwanamke pia uenda kajiegesha tu apate unafuu wa maisha.

Cha kufanya usiharakishe suala la kwenda kujitambulisha. Mtoe huyo binti nyumbani kwako. Kama ni kuja awe anakuja kukutembelea tu. Unaweza kumshauri arudi kwao, akakae kwa ndugu yake au ukampiga tafu aende kupanga huku akitafuta kazi ya kufanya. Mpaka utakapojiridhisha vya kutosha, then nenda kwao fuata taratibu za kumchukua rasmi
 
wimbo: Kafia gheto
muimbaji: hussein machozi

ukipata muda utafute usikilize utakuja kunishukuru
 
Kuna wasichana ni kama hamnazo yaani nikammpikie mtu miezi 6 ambae hata kwetu hajulikani hebu imagine wewe ndio mzazi na huyo ndio mwanao

Siku akipa tatizo mdo utajua umuhimu wa kujitambulisha
 
Ni busara kwenda kujitambulisha mkuu.
 
Sikiliza Ngoma ya AMIGO
 
kama binti ni wa 2005 basi wewe possibly utakua dogo wa between 1999-2003

Endeleeni kubinuana tuu
 
Wakuu nimeskia ushauri wenu kesho nachukua namba ya mama mkwe nianze kuwasiliana nae then nijipange niende kumtembelea kwake Ngara. Mmeninyea sana jamanii daaah!!!
 
Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
Mpumbavu mkubwa ww, na mwanao wa kike nae apate wa kumlomba hv kama unavyofanya
 
Siku akifa utajua kwamba dunia haina huruma kabisa........
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…