Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki.

Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili Tatu, kilaji kidogo tukajikuta Penzini.

Kumbe Alikua Anaishi na Rafiki Yake ambaye kwa Mujibu wake alimuambia atakua na Wageni Hakua na Pa Kukaa, Akaomba nikae Nae hata Siku Mbili tatu then Ataondoka.

Cha Kushangaza Hadi Hivi Sasa Yuko Jikoni huko anarekebisha Mambo 😀😀 (nacheka kama Mazuri) ni Binti Mstaarabu tu hana Shida anafanya Majukumu yote, ila Kitendo cha Kuishi Bila Utaratibu Wala Kumjua Kiundani kinanitia Sana Wasiwasi.

Natamani Kweli kupata Namna Nzuri ya Kumuondoa Wadau, Maana Hata Nguo alikua na Alizovaa tu, Nikampeleka Makumbusho, Tukafanya Shopping.

Wakuu Mi Sio Muandishi Mzuri ila Ningeomba Mnisaidie Namna ya Kumtoa Huyu mtu kwa Njia Rafiki na Rahisi asijikie Vibaya, Hopefully mtakua mmenialiewa na Poleni kwa Kuwachukulia Mda Wenu.

Ahsanteni Sana
Sema hichi kizazi kimezidi Umalaya yani demu haoni shida kuhamia kwa stranger.
 
Umeshamtumia ushamchoka sasa.... shauri Yao wakiambiwa usiishi kinyumba na mwanaume asiyekuoa tayari hawasikii
Hapana, Sio Kwamba Nimemtumia, Nimemchoka, Ninachohitaji hata Mipango Yetu, Tuipange, When She is Out of Here, Hata Madogo Yote Niliyoyafanya Kwake, Amenishukuru Mnoo!
 
Tafuta demu mwenye aina ya "asha ngedere" mlipe,mwachie hio kazi ya kukutolea huyo Dada.
Hii Hapana Brother! Ni Mwanamke Poa Sana kama Kumface tu , Naona Kazi Hayo Nawezaje? Hata Yeye Mwenyewe Atashangaa!
 
Shoping ya nguo ulitumia sh ngapi?

Kwani kumuukiza kwao na ndugu zake walipo inakushinda nini?... Mwambie ajiandae mwende kwao upaone, kitu kidogo hiki unajaza seva ndoa utaimudu kweli hata mwaka mmoja
Kijna mpuuz sna hyu eti anadai kampeleka makumbusho
 
Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki.

Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili Tatu, kilaji kidogo tukajikuta Penzini.

Kumbe Alikua Anaishi na Rafiki Yake ambaye kwa Mujibu wake alimuambia atakua na Wageni Hakua na Pa Kukaa, Akaomba nikae Nae hata Siku Mbili tatu then Ataondoka.

Cha Kushangaza Hadi Hivi Sasa Yuko Jikoni huko anarekebisha Mambo 😀😀 (nacheka kama Mazuri) ni Binti Mstaarabu tu hana Shida anafanya Majukumu yote, ila Kitendo cha Kuishi Bila Utaratibu Wala Kumjua Kiundani kinanitia Sana Wasiwasi.

Natamani Kweli kupata Namna Nzuri ya Kumuondoa Wadau, Maana Hata Nguo alikua na Alizovaa tu, Nikampeleka Makumbusho, Tukafanya Shopping.

Wakuu Mi Sio Muandishi Mzuri ila Ningeomba Mnisaidie Namna ya Kumtoa Huyu mtu kwa Njia Rafiki na Rahisi asijikie Vibaya, Hopefully mtakua mmenialiewa na Poleni kwa Kuwachukulia Mda Wenu.

Ahsanteni Sana
Kabla ya kukueleza cha kukusaidia, tueleze kwanza, katika hayo maisha yenu ya siku mbili tatu umempenda pigo zake?

Namaanisha namna ambayo wewe unataka mwanamke awe(nje ndani).

Ukileta hilo jibu, mengine yote ni mepesi namna ya kuyaweka sawa na kusaidiana.
 
Hmmh sikuhizi kuunganishwa na mtu hadi kifo imekuwa kirahisi namna hii? Kwamba ukimla tu, tayari.

😁
Ukishamla tu tiyari umeunganishwa naye, unapochomeka tu ikazama ndani kisha ukamwaga tiyari ni muunganiko wa mwili mmoja, ni wako huyo usimkimbie.
 
Back
Top Bottom