Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
nshachoka figili mieKwani kuna tatizo
We ni mtu mzima unaogopa nn?
Ebu njoo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nshachoka figili mieKwani kuna tatizo
We ni mtu mzima unaogopa nn?
Ebu njoo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inabid nikupeleke KFC sasa nmechoka unavyolialia kama mtotonshachoka figili mie
apo sasa narudi 😋😋😋Inabid nikupeleke KFC sasa nmechoka unavyolialia kama mtoto
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uje haraka sasa nitoe kimoja halafu ndiyo ukale kuku ila leo hutolala kwanguapo sasa narudi [emoji39][emoji39][emoji39]
sina pa kulala lakiniUje haraka sasa nitoe kimoja halafu ndiyo ukale kuku ila leo hutolala kwangu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
utanilipia?
Kumbe Alikua Anaishi na Rafiki Yake ambaye kwa Mujibu wake alimuambia atakua na Wageni Hakua na Pa Kukaa, Akaomba nikae Nae hata Siku Mbili tatu then Ataondoka.
Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki.
Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili Tatu, kilaji kidogo tukajikuta Penzini.
Kumbe Alikua Anaishi na Rafiki Yake ambaye kwa Mujibu wake alimuambia atakua na Wageni Hakua na Pa Kukaa, Akaomba nikae Nae hata Siku Mbili tatu then Ataondoka.
Cha Kushangaza Hadi Hivi Sasa Yuko Jikoni huko anarekebisha Mambo 😀😀 (nacheka kama Mazuri) ni Binti Mstaarabu tu hana Shida anafanya Majukumu yote, ila Kitendo cha Kuishi Bila Utaratibu Wala Kumjua Kiundani kinanitia Sana Wasiwasi.
Natamani Kweli kupata Namna Nzuri ya Kumuondoa Wadau, Maana Hata Nguo alikua na Alizovaa tu, Nikampeleka Makumbusho, Tukafanya Shopping.
Wakuu Mi Sio Muandishi Mzuri ila Ningeomba Mnisaidie Namna ya Kumtoa Huyu mtu kwa Njia Rafiki na Rahisi asijikie Vibaya, Hopefully mtakua mmenialiewa na Poleni kwa Kuwachukulia Mda Wenu.
Ahsanteni Sana
🏃🏾♀️🏃🏾♀️
Unakimbia wap wewe mrembo?[emoji2096][emoji2096]
Npo nakuja
Huchukua miaka 25 kumfahamu Mwanamke kama vipi mstiri tu.Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki.
Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili Tatu, kilaji kidogo tukajikuta Penzini.
Kumbe Alikua Anaishi na Rafiki Yake ambaye kwa Mujibu wake alimuambia atakua na Wageni Hakua na Pa Kukaa, Akaomba nikae Nae hata Siku Mbili tatu then Ataondoka.
Cha Kushangaza Hadi Hivi Sasa Yuko Jikoni huko anarekebisha Mambo 😀😀 (nacheka kama Mazuri) ni Binti Mstaarabu tu hana Shida anafanya Majukumu yote, ila Kitendo cha Kuishi Bila Utaratibu Wala Kumjua Kiundani kinanitia Sana Wasiwasi.
Natamani Kweli kupata Namna Nzuri ya Kumuondoa Wadau, Maana Hata Nguo alikua na Alizovaa tu, Nikampeleka Makumbusho, Tukafanya Shopping.
Wakuu Mi Sio Muandishi Mzuri ila Ningeomba Mnisaidie Namna ya Kumtoa Huyu mtu kwa Njia Rafiki na Rahisi asijikie Vibaya, Hopefully mtakua mmenialiewa na Poleni kwa Kuwachukulia Mda Wenu.
Ahsanteni Sana
Tatizo mimi nadhani siyo watu kuishi wote. Tatizo ni kujuana. Kujua chimbuko eg wazazi na ndugu na historia ya mwenza wako ni jambo muhimu sana sana.Amevamia na anakwambia wametoka toka sana date sio gafla tu, hapo ameparamia nini au watu kuishi pamoja hadi waishi uchumba miaka 11
Yeah kupata full service unalipa..Mwingine amenitajia Badoo.
Kwa maoni yangu,sidhani kama huko ni kUzuri kutafuta mwenza,labda demu wa kutoa nyege.
Swali langu,hizo Apps ni za kulipia?
Thanks you Brother kwa Ushuhuda Wako, Na Umesema Jambo & I Can do it, Ila huyu Kodi yake nadhani yaweza kuwa kubwa KidogoMuulize kwenu wapi ...... unafanya kazi gani uliwahi fanya kazi gani...... pia kama una hela mpangie nje ya mji chumba cha 35000 huko miezi kadhaa kama kumsaidia tu
Mimi iliwahi nitokea situation kama yako alikuwa na age 18 so alifukuzwa anakokaa akaja kwangu akalala kesho yako alitemfukuz kasema baki nae mi pia hakua ndugu yangu sitak arudi alikuwa mwanamke mwenzake
Basi na mimi nikaona siwez kaa na mtu simjui binti alikuwa mburu akaniambia kwao hajaenda miaka minne alikuja huku akiwa na 15 kama bek tatu akafukuzwa akaingia mitaani tu kuzurura so rafik yake nae alivyoona kaja kwangu ikawa chance ya kumfukuza
Sababu ya umri wake 18 niliingia bAnk nikatoa laki mbili nikaenda kumtupa mpiji magoe kule nikampangie gheto la 35000 miezi mitano nikampa godoro feni na mtungi wa gesi na vyombo kadhaa nikasepa
Aliendelea na maisha yake Kwa furaha sasa hivi yuko age 20 sijui siku alinipigia kuwa huwa anafanya kazi za mama ntilie ila ni mzuri sana ni mburu so mimi nilimsaidia kidogo sababu ya huruma tu na umri wake