Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

Nikwambie bro wala usimfukuze huyo mke umeletewa na Mungu kwa njia ya ajabu.! Wewe cha kufanya muulize kwao muishi kwa amani, halafu acha kumix datting app na social media. Nna uhakika huyo mdada mmekutana Fb 🤣🤣🤣

Halafu na wewe umempenda ndiomana ukampiga na shopping ya viwalo. Ww ni mtu mwema sana na mpole.!! Pls usimfukuze mama wa watoto wako.
😀😀 Wala Si Fb, Na Sikusema Namfukuza Jamani! Natafuta tu Namna Ya Kumsogeza
 
Mpange mshkaji wako ajifanye yeye ni mshua wako akupigie simu na kukwambia siku fulani mama yako atakuja hapo atalala ili kesho yake umpeleke hospital. Case closed
Usioe mkuu maana jambo dogo kama hili limekushinda ndoa hutaiweza
NDOA NI UTAPELI
 
Mpaka nguo umenunua kupika anakupikia na hana makuu mpole mstaarabu Sasa ubasubiri Nini?

Kipengele kitakachokusumbua maisha Yako n Dating app
Ila nyongeza ndio inasumbua hapa. Si kwamba anapika tu, bali pia anapakua. Akifikiria hapo anashindwa jinsi ya kumuacha!
 
Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki.

Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili Tatu, kilaji kidogo tukajikuta Penzini.

Kumbe Alikua Anaishi na Rafiki Yake ambaye kwa Mujibu wake alimuambia atakua na Wageni Hakua na Pa Kukaa, Akaomba nikae Nae hata Siku Mbili tatu then Ataondoka.

Cha Kushangaza Hadi Hivi Sasa Yuko Jikoni huko anarekebisha Mambo 😀😀 (nacheka kama Mazuri) ni Binti Mstaarabu tu hana Shida anafanya Majukumu yote, ila Kitendo cha Kuishi Bila Utaratibu Wala Kumjua Kiundani kinanitia Sana Wasiwasi.

Natamani Kweli kupata Namna Nzuri ya Kumuondoa Wadau, Maana Hata Nguo alikua na Alizovaa tu, Nikampeleka Makumbusho, Tukafanya Shopping.

Wakuu Mi Sio Muandishi Mzuri ila Ningeomba Mnisaidie Namna ya Kumtoa Huyu mtu kwa Njia Rafiki na Rahisi asijikie Vibaya, Hopefully mtakua mmenialiewa na Poleni kwa Kuwachukulia Mda Wenu.

Ahsanteni Sana
Yani vijana tukishavua ch*pi ndo akili inakaa vizuri,na inakuaje dem haumjui na unampeleka kwako kama alikuja na sembe akakukamatisha.ila kikubwa wewe fanya ujue kwao 2 kwasababu hawa viumbe maisha yamechangamka kwa sasa.
 
Unacheza na kaa la moto, muondoe bila kujali ataumia au vipi.

Utaratibu wa kufahamiana vizuri utafuata baadae.
 
Kwann usimuombe akutambulishe kwa ndugu zake kama una wasiwasi nae kuliku kumtoa hapo kwako maana inaonekana ulitaka kumla tu alaf umpotezee.
 
Chakula Mwanzo tulikua tunakula Out, Ila Akaniambia Mbona tunaspend Sana kula nje na ninaweza Kukupikia Nyumbani kwa gharama za Kawaida? Na Ukiangalia ni Kweli akipika anatumia Gharama ndogo
Mke huyo, Fata Taratibu Weka ndani.
 
Mwanamke wa kuweka ndani ni anaetoka kwao iwe kwa kutoroka au kufuatwa ila kwao kupo wazazi ndugu wapo fullstop, utakuja ishi na majini siku unarudi umkuti na umwoni tena we anza na utaratibu wa kuja na mdudu na kijiti
 
Tafuta demu mwenye aina ya "asha ngedere" mlipe,mwachie hio kazi ya kukutolea huyo Dada.
 
Hata usimfukuze mpangishie chumba na umpe mtaji Wa biashara Si mpenzi wako hyo
 
Unacheza na kaa la moto, muondoe bila kujali ataumia au vipi.

Utaratibu wa kufahamiana vizuri utafuata baadae.
Kabisa, Naona Wengi Wananihukumu kwa Kosa ambalo Tayari Nilishalifanya, Honestly Nataka Sana, tufahamiane kwa Ukaribu, Ila Kipindi ambacho hatakua Nyumbani.
 
Back
Top Bottom