Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa


Kimaisha yuko vizuri tu na mimi wala sio tegemezi kwake kila mtu anakazi zake (tunasaidiana)

Usahihi (hapo anajua yeye sasa maybe ameona mimi sio sahihi kwake)

Umri ana 35 mimi niko na 25yrs, naona hapo kwenye utayari wa kuoa kwake yeye mwenzangu bado

Kuishi pamoja, alinikuta najitegemea na yeye alikua anajitegemea, mawazo yake akasema tutafute nyumba kubwa tuishi pamoja hatukua na muda mrefu tangu tuanze mahusiano almost a month tu hivj, so kuanzia hapo hadi sasa tunaishi pamoja mkoa x


Kuzungumzia ndoa
Nimeacha

Ila as wapenzi ni kitu ambacho naona kinaniumiza na yeye ukitaka akose raha basi zungumzia kuhusu ndoa siku nzima atashinda hana furaha kwahiyo kauli yangu ya mwisho nilimwambia sitozungumzia tena kuhusu ndoa ye mwenyewe akiona sasa yuko tayari sawa

Ila ndani kwa ndani naumia sana, kuna leo na kesho hatuijui kesho yetu na bado tunazaa binafsi sipendi lakini sasa sina uwezo wa kulizuia hilo[emoji17][emoji17] sitaki hata sherehe nimemwambia tuhalalishe tu hata watoto wae wa ndani ya ndoa na tuwe tumekamilisha angalau nusu ya dini inavyotaka
 

Wanaume wenyewe wapo sasa??? Majanga matupu

Na kuachana na mtu ambaye mnaendana kwa asilimia kubwa sio rahisi kihivyo

Binafsi naona nijipe muda na sub’rah nimejiwekea miaka 3 ndani ya hiyo miaka3 nikiona bado hayuko tayari basi nitamuacha kiamani tu
 
Mkiwa mnaishi pamoja?Unajuaje sasa hivi kuna mtu anakuhitaji sana lakini anasema yule ni mke wa mtu?Subra haikai ndani ya zinaa.Kama mmeishi pamoja na mnaendana kwa nini hakuoi?Ukiumwa,mawazi,kodi na kadhalika anafanya,anapenda zinaa?Je mnaswali?Ukiwa karibu na Mungu hautazini,na usipozini utathamini ndoa.Maana kama una swali huwezi kuzini,Na inaonekana nyie mnaipenda zinaa au yeye anaipenda zinaa.Kuna rafiki yangu ana mke alafu akawa ana mwanamke mwingine hawara wake.Alimpangia chumba,kula,kulala,mavazi,maradhi vyote vinamuhusu jamaa.Pia alikuwa amezaa naye.Akaamua kumuoa nikamuuliza kwa nini unaoa mke wa pili?alinijibu kwamba kama kila kitu anafanya yeye kwa nini hamuoi?Anazini kwa sababu gani?Anzeni kuswali na kuwa karibu na Mungu,lakini kama hamswali ni bure.Imagine umetoka kuswali na unaimani alafu unazini?lazima ujiskie vibaya,ukijiskia vibaya utajinasua na zinaa,ukijinasua na zinaa eitha mtaachana au mtafunga ndoa.La mwisho.NYIE HAMUENDANI HATA KIDOGO,MNGEKUWA MNAENDANA MNGEFUNGA NDOA MKAIACHA ZINAA!Mpira upo miguuni mwako huhitaji ushauri.Njia zipo mbili,motoni milele au peponi milele!Chagua ndugu muislam
 

Hatuendani tusingekua wote sasa

Point ni hiyo yeye hayuko tayari choice ni yangu kuwa na sub’rah au kuachana nae

Ni rahisi kuongea tu ila kutenda ni ngumu na huo ndio uhalisia
 
Hatuendani tusingekua wote sasa

Point ni hiyo yeye hayuko tayari choice ni yangu kuwa na sub’rah au kuachana nae

Ni rahisi kuongea tu ila kutenda ni ngumu na huo ndio uhalisia
Nilisema Its up to you,lakini kwa imani ya dini huo ndio ukweli mchungu!
 
dah pole sana, ila ulichobugi ni kuishi nae mama. anaona anapata kila kitu ya nini kifungo. Wanaume wachache sana wanaoa as kujua umuhimu wa ndoa, Ila wengi anaoa cause anahitaj vitu fulani kwa mwanamke na wewe ndo unampatia. Mi nngekua wewe ningekula aisee maana hapo unashinda njaa.
 
Mama siku hizi una mikwara kuwasema wenzako mbona wewe ulivyozeeka ndiyo baba akakuoa?
 
umenigusa sana aisee ngoja nianze kuswali
 
Hatuendani tusingekua wote sasa

Point ni hiyo yeye hayuko tayari choice ni yangu kuwa na sub’rah au kuachana nae

Ni rahisi kuongea tu ila kutenda ni ngumu na huo ndio uhalisia
Mpendwa kuna members wamekupa ushauri mzuri ila ninacho kiona kwako kwamba jamaa kwa kuwa unaishi nae pamoja una imani siku atakuoa na unajipa matumaini hewa ni chaguo lake kwa kuwa mnaishi pamoja hujiuilizi mpaka una mshauri unataka ndoa ya ubani jamaa kagoma endea kuvuta subra uvune MAJUTO
 

Asante[emoji17][emoji17]
 
Mtu anakutumia kama mke na mume lakini kuihalalishia HATAKI haoni muda unaenda na sisi wanawake tunawahi kubadilika kimaumbile tofauti na wanaume
Kwa muda mlioishi tayari ni Mme na Make na haki zote hata ikitokea jamaa akifa sasa wewe shida yako ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…