Akili mkichwa uamue KUSUKA ama KUNYOA. Je, uko tayari kuondoka hapo kwake ukaanze kuishi mwenyewe? Je, unaweza kuishi bila huyu mtu katika maisha yako? Je, ukiishi mwenyewe na yeye akiwa na nyege zake au wewe ukiwa na nyege hutamvulia chupi? Wazazi wa pande zote mbili kama wapo hai wanasemaje? Hajagusia suala la kukupa mimba?
Kiukweli nampenda sana na naamini yeye Pia ananipenda kutokana na vitu ali/anavyonifanyia
Kunipa mimba anataka tuzae tena anajipangia kabisa watoto wanne tatizo kunioa ndio mgumu nikiwa na mtu mwingine nahisi nitakua nimemkosea sana
Yani unasema umempa miaka 3 tu,kwani wewe ndio unaoa hadi umpangie.Yani ingekuwa Mimi unaniambia hivyo Siku hiyo ningekwambia ujioe mwenyewe.
Kwa kauli hizo inaonekana jamaa ana mengi rohoni mwake ndio maana haoni maana ya kufunga ndio nawe.
Akili mkichwa uamue KUSUKA ama KUNYOA. Je, uko tayari kuondoka hapo kwake ukaanze kuishi mwenyewe? Je, unaweza kuishi bila huyu mtu katika maisha yako? Je, ukiishi mwenyewe na yeye akiwa na nyege zake au wewe ukiwa na nyege hutamvulia chupi? Wazazi wa pande zote mbili kama wapo hai wanasemaje? Hajagusia suala la kukupa mimba?
Hamna wewe mchekeetu hakuna tatizo maana umri umesimamaMnanifanya leo nimnunie siku nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio kwa kunijaza upepo huku
Siko tayari kwasasa kiukweli, mh niliwahi kufikiria hilo ila akisafiri tu nammiss hatari Sasa tukiachana sijui itakuwaje[emoji17][emoji17] wazazi wapo wanaojua ni wamama tu wa pande zote kasoro Baba yake wao pia wanatamani tena sherehe kabisa
Basi vumilia tu ila usiache kumkumbushia kuhusu ndoa. Wewe una furaha kubwa kuwa naye katika maisha yako hali kadhalika yeye na unampenda sana na unadai kwa vitu ambavyo anakufanyia unadhani naye anakupenda sana. Hivyo usije ukabaki na majuto mjukuu ukiamua kuondoka ili kulazimisha ndoa kwani anaweza kabisa kuingia mitini kimoja. Siku akitangaza ndoa tuletee mrejesho na hiyo WADUDU uliyoambiwa usome usiisahau hahahahahahahah Kila la heri na baraka.
Badilika kuna mahali hauko sawa ama hamuendani ila kwa kuwa anapata kila kitu kabla hata ya hiyo ndoa kwann akuoe!!?
Ni kweli hakuna haja ya kuoa maana utaoaje wakati hata kabla ya kuoa unapata kila kitu kama mtu alieko kweny ndoa wadada mnapokubali kutoa pambuchi tena wengine mpka mnahamia kwa mabwana zenu mnatufanya tuone umuhimu na ulazima wa kuoa maana kama napata kila kitu kama aliea sasa kuna haja gani ya kuoa!!?? Kwa hiyo unajikuta unakuchukua huyu mnakaa wee akija shituka mnaachana unachukua mwingine hivo hivo mpaka na watoto unapata.Ndo hapo wanapokosea wadada wengi! Wamekuwa cheap sana unakubali kuishi na jamaa na hapo unatarajia mfunge ndoa!
Kwa taarifa ya mtoa mada hii tabia yao ya kuishi kwa boifrend ndiyo imefanya vijana tusione umuhimu wa kuhalalisha/kuoa.
[emoji1787][emoji1787] YA WADUDU sio.Basi vumilia tu ila usiache kumkumbushia kuhusu ndoa. Wewe una furaha kubwa kuwa naye katika maisha yako hali kadhalika yeye na unampenda sana na unadai kwa vitu ambavyo anakufanyia unadhani naye anakupenda sana. Hivyo usije ukabaki na majuto mjukuu ukiamua kuondoka ili kulazimisha ndoa kwani anaweza kabisa kuingia mitini kimoja. Siku akitangaza ndoa tuletee mrejesho na hiyo WADUDU uliyoambiwa usome usiisahau hahahahahahahah Kila la heri na baraka.
Hapo ulipo kwanza usiendelee kuzaa. kama mtoto ni mmoja baki naye huyo huyo hujui ya mbeleni. Kuna mdada alipost story yake insta kama wewe alikuwa na mahusiano na mkaka miaka 5. kila akimkumbushia swala la ndoa jamaa anasema bado subiri hapo tayari wana mtoto mmoja. mara jamaa akawa ana safiri mara kwa mara mdada akajua ni mambo ya kazi tu. baada ya miezi kadhaa akaona amesafiri harudi simu haipatikani,akiuliza kwa washkaji zake kimya, ndugu wa mwanaume hawajui. Siku kama bahati masikini akaona post facebook katagiwa jamaa ameoa na hapo ni kama wiki ilishapita, kumbe zile safari alikuwa anaenda kuweka mambo sawa ya harusi mkoa mwingine. dada akafuatilia mpaka kujua wanapokaa kufika kumbe mke wa jamaa anajua kuwa kuna baby mama tu ikabidi ajiondokee masikini. Hapo jiandae na mawili kuolewa/kutoolewa ikibidi mwambie tu unarudi kupanga ili uone msimamo wake. unavyoendelea kuishi hapo huwezi jua baraka yako ipo kwa mwengine na sio ya yeye na unaizuia. all the best mamii
Mungu akufanyie wepesi akutakabalie dua hii njema!Alafu Shangaa ukisema ngoja niende kuswali Malaika wanakuandikia thawabu hata kama hujaswali!umenigusa sana aisee ngoja nianze kuswali
Shida iko hapa tu sio pengine!Habari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.
Swala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani[emoji3059][emoji3059] hajaoa, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.
Simuelewi! Au ana miiko[emoji848] Niko hoves nimechoka kuzini