Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Akili mkichwa uamue KUSUKA ama KUNYOA. Je, uko tayari kuondoka hapo kwake ukaanze kuishi mwenyewe? Je, unaweza kuishi bila huyu mtu katika maisha yako? Je, ukiishi mwenyewe na yeye akiwa na nyege zake au wewe ukiwa na nyege hutamvulia chupi? Wazazi wa pande zote mbili kama wapo hai wanasemaje? Hajagusia suala la kukupa mimba?

Kiukweli nampenda sana na naamini yeye Pia ananipenda kutokana na vitu ali/anavyonifanyia

Kunipa mimba anataka tuzae tena anajipangia kabisa watoto wanne tatizo kunioa ndio mgumu nikiwa na mtu mwingine nahisi nitakua nimemkosea sana
 
Mbona maswali yangu mengine hujayajibu!?
Kiukweli nampenda sana na naamini yeye Pia ananipenda kutokana na vitu ali/anavyonifanyia

Kunipa mimba anataka tuzae tena anajipangia kabisa watoto wanne tatizo kunioa ndio mgumu nikiwa na mtu mwingine nahisi nitakua nimemkosea sana
 
Yani unasema umempa miaka 3 tu,kwani wewe ndio unaoa hadi umpangie.Yani ingekuwa Mimi unaniambia hivyo Siku hiyo ningekwambia ujioe mwenyewe.

Kwa kauli hizo inaonekana jamaa ana mengi rohoni mwake ndio maana haoni maana ya kufunga ndio nawe.

Sijamwambia nimejiwekewa mwenyewe tu mm nilimwambia kama ushauri tunaishi wote na Kama tunapendana basi tuhalalishe iwe ya halali hata watoto wetu watambulike kidini na sio nilimpa muda Ila ndani ya moyo wangu nimempa miaka 3 tu
 
Akili mkichwa uamue KUSUKA ama KUNYOA. Je, uko tayari kuondoka hapo kwake ukaanze kuishi mwenyewe? Je, unaweza kuishi bila huyu mtu katika maisha yako? Je, ukiishi mwenyewe na yeye akiwa na nyege zake au wewe ukiwa na nyege hutamvulia chupi? Wazazi wa pande zote mbili kama wapo hai wanasemaje? Hajagusia suala la kukupa mimba?

Siko tayari kwasasa kiukweli, mh niliwahi kufikiria hilo ila akisafiri tu nammiss hatari Sasa tukiachana sijui itakuwaje[emoji17][emoji17] wazazi wapo wanaojua ni wamama tu wa pande zote kasoro Baba yake wao pia wanatamani tena sherehe kabisa
 
Basi vumilia tu ila usiache kumkumbushia kuhusu ndoa. Wewe una furaha kubwa kuwa naye katika maisha yako hali kadhalika yeye na unampenda sana na unadai kwa vitu ambavyo anakufanyia unadhani naye anakupenda sana. Hivyo usije ukabaki na majuto mjukuu ukiamua kuondoka ili kulazimisha ndoa kwani anaweza kabisa kuingia mitini kimoja. Siku akitangaza ndoa tuletee mrejesho na hiyo WADUDU uliyoambiwa usome usiisahau hahahahahahahah Kila la heri na baraka.

Badilika kuna mahali hauko sawa ama hamuendani ila kwa kuwa anapata kila kitu kabla hata ya hiyo ndoa kwann akuoe!!?
 
Hahahahaha ya wadud itahusika
 
Hapo ulipo kwanza usiendelee kuzaa. kama mtoto ni mmoja baki naye huyo huyo hujui ya mbeleni. Kuna mdada alipost story yake insta kama wewe alikuwa na mahusiano na mkaka miaka 5. kila akimkumbushia swala la ndoa jamaa anasema bado subiri hapo tayari wana mtoto mmoja. mara jamaa akawa ana safiri mara kwa mara mdada akajua ni mambo ya kazi tu. baada ya miezi kadhaa akaona amesafiri harudi simu haipatikani,akiuliza kwa washkaji zake kimya, ndugu wa mwanaume hawajui. Siku kama bahati masikini akaona post facebook katagiwa jamaa ameoa na hapo ni kama wiki ilishapita, kumbe zile safari alikuwa anaenda kuweka mambo sawa ya harusi mkoa mwingine. dada akafuatilia mpaka kujua wanapokaa kufika kumbe mke wa jamaa anajua kuwa kuna baby mama tu ikabidi ajiondokee masikini. Hapo jiandae na mawili kuolewa/kutoolewa ikibidi mwambie tu unarudi kupanga ili uone msimamo wake. unavyoendelea kuishi hapo huwezi jua baraka yako ipo kwa mwengine na sio ya yeye na unaizuia. all the best mamii
 
Badilika kuna mahali hauko sawa ama hamuendani ila kwa kuwa anapata kila kitu kabla hata ya hiyo ndoa kwann akuoe!!?

Ndoa kwa uelewa wako ni kila kitu anachopata? Kutokana na imani yangu kuzini ni dhambi na moja ya nguzo za dini ni kuoa/kuolewa

Anaweza kupata kila kitu kasoro faradhi za M/mungu akifa leo dhambi zake anakutana nazo mwenyewe
 
Ndo hapo wanapokosea wadada wengi! Wamekuwa cheap sana unakubali kuishi na jamaa na hapo unatarajia mfunge ndoa!

Kwa taarifa ya mtoa mada hii tabia yao ya kuishi kwa boifrend ndiyo imefanya vijana tusione umuhimu wa kuhalalisha/kuoa.
Ni kweli hakuna haja ya kuoa maana utaoaje wakati hata kabla ya kuoa unapata kila kitu kama mtu alieko kweny ndoa wadada mnapokubali kutoa pambuchi tena wengine mpka mnahamia kwa mabwana zenu mnatufanya tuone umuhimu na ulazima wa kuoa maana kama napata kila kitu kama aliea sasa kuna haja gani ya kuoa!!?? Kwa hiyo unajikuta unakuchukua huyu mnakaa wee akija shituka mnaachana unachukua mwingine hivo hivo mpaka na watoto unapata.
 
Basi vumilia tu ila usiache kumkumbushia kuhusu ndoa. Wewe una furaha kubwa kuwa naye katika maisha yako hali kadhalika yeye na unampenda sana na unadai kwa vitu ambavyo anakufanyia unadhani naye anakupenda sana. Hivyo usije ukabaki na majuto mjukuu ukiamua kuondoka ili kulazimisha ndoa kwani anaweza kabisa kuingia mitini kimoja. Siku akitangaza ndoa tuletee mrejesho na hiyo WADUDU uliyoambiwa usome usiisahau hahahahahahahah Kila la heri na baraka.
[emoji1787][emoji1787] YA WADUDU sio.
 
Hapo ulipo kwanza usiendelee kuzaa. kama mtoto ni mmoja baki naye huyo huyo hujui ya mbeleni. Kuna mdada alipost story yake insta kama wewe alikuwa na mahusiano na mkaka miaka 5. kila akimkumbushia swala la ndoa jamaa anasema bado subiri hapo tayari wana mtoto mmoja. mara jamaa akawa ana safiri mara kwa mara mdada akajua ni mambo ya kazi tu. baada ya miezi kadhaa akaona amesafiri harudi simu haipatikani,akiuliza kwa washkaji zake kimya, ndugu wa mwanaume hawajui. Siku kama bahati masikini akaona post facebook katagiwa jamaa ameoa na hapo ni kama wiki ilishapita, kumbe zile safari alikuwa anaenda kuweka mambo sawa ya harusi mkoa mwingine. dada akafuatilia mpaka kujua wanapokaa kufika kumbe mke wa jamaa anajua kuwa kuna baby mama tu ikabidi ajiondokee masikini. Hapo jiandae na mawili kuolewa/kutoolewa ikibidi mwambie tu unarudi kupanga ili uone msimamo wake. unavyoendelea kuishi hapo huwezi jua baraka yako ipo kwa mwengine na sio ya yeye na unaizuia. all the best mamii

Thanks mah kwa ushauri

Ni kweli kabisa

Lakini unajua sasahivi kulivyo na uhaba wa wanaume kamili jamani wengine ndio hivyo 2 in one bado wakucheat nk huyu hata kama anafanya ni kwa usiri mno sijui

Na kusema ataoa kimya kimya m sioni shida kwavile dini yetu imeruhusu hata akioa wanne kwangu ni RUHSA as long as ananitimizia kila hitaji langu kuanzia la kimwili nk mengine huwezi kukabiliana na ukweli

Nikisema alivyonifanyia[emoji19][emoji19]ni mengi na makubwa hata walioolewa wengi tu hawajafanyiwa lkn anajinyima ame/ananifanyia mimi sina cha kumlipa zaidi ya mapenzi ya kweli Incase akinitenda ni kaamua tu mwenyewe na kutokunioa sielewi sababu ni nn kwasababu haniambii anasema tu muda bado niwe na subrah
 
Habari zenu wanaJF

Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])

Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.

Swala lililonileta kwenu.

Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.

Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani[emoji3059][emoji3059] hajaoa, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.

Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.

Simuelewi! Au ana miiko[emoji848] Niko hoves nimechoka kuzini

Shida iko hapa tu sio pengine!
4E595900-C3F6-4086-8D20-6ECB30AA002D.jpeg
 
Back
Top Bottom