Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,234
- 2,535
- Thread starter
- #101
Akili mkichwa uamue KUSUKA ama KUNYOA. Je, uko tayari kuondoka hapo kwake ukaanze kuishi mwenyewe? Je, unaweza kuishi bila huyu mtu katika maisha yako? Je, ukiishi mwenyewe na yeye akiwa na nyege zake au wewe ukiwa na nyege hutamvulia chupi? Wazazi wa pande zote mbili kama wapo hai wanasemaje? Hajagusia suala la kukupa mimba?
Kiukweli nampenda sana na naamini yeye Pia ananipenda kutokana na vitu ali/anavyonifanyia
Kunipa mimba anataka tuzae tena anajipangia kabisa watoto wanne tatizo kunioa ndio mgumu nikiwa na mtu mwingine nahisi nitakua nimemkosea sana