MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Tuwe wakweli, Diamond yuko mkali sana lakini huwezi kupinga ukweli kwamba Harmo is talented. Anazidi kukomaa na kuwa bora kila siku, akiachana na uswahili atafika mbali.Mnashindasha original vs clone yake. Mwisho wa siku anawaumiza wasanii wake, Killy kaachia Ep haipi promo hana mda nayo na Anjella nae juzi kaachia nyimbo promo hamna.
Mondi ni msanii mkubwa ambaye mziki wake ushasambaa sehemu nyingi Afrika. Una mzungumzia msanii wa kwanza Tanzania kupiga shows zaidi 95% ya nchi za Afrika ukiondoa za kiarabu.
Huwezi kumzima kivyovyote.Ila jamaa apunguze mabeef naona juzi Fred Vunjabei alimaindi, ila baada kusikia huu wimbo kumbe Harmo kaiponda too much money.
Kama ni hivyo ujue Tanzania identity zake ni taarabu na singeli tofauti na hapo hatuna mziki wetu hiyo bongo fleva unasema wewe ni muunganiko wa ladha tofauti tofauti ambao tumecopy sehemu nyingine una kuta ina Rnb, zuku, indian fleva n.k
kwani ni lazima umsikilize mondi? Wapo wengi tu... Tanzania pana hii, unajichagulia wako unaenda naye duniani huko!Najua bongo flava ilitokea wapi enzi hizo, ila angalau kuimba hiyo kuliko kujikuta wanigeria mpaka accent kabisa, siipend English ya Nigeria balaa
Very predictable yaan anaimba ujinga ujinga tu siku hiziUsinipe kitandan leo nipe kwa sofa (sona)
Unipe chungwa nikupe tango, usiku tukiyafanya mambo (wonder)
Asubuh moko moko cha moto moto (loyal)
View attachment 2147533
Labda anajua kunyaKonde anajua zaidi ya diamond sema Ana ufala mwingi
Sijakataa yupo vizuri na hata alichofanya juzi Tabata ni kikubwa zaidi. Ila tatizo wasanii wake anawaua yy mwenyewe, hawafanyii Promo dogo Killy kaachia Ep haina hata wiki tatu,Angela nae tar 9 March kaachia nyimbo wote hawapati promo,kila mwezi anaachia nyimbo plus collabo anazo shirikishwa.Tuwe wakweli, Diamond yuko mkali sana lakini huwezi kupinga ukweli kwamba Harmo is talented. Anazidi kukomaa na kuwa bora kila siku, akiachana na uswahili atafika mbali.
Hata album yake alitoa video 2 baada ya kuitoa, nikajua zitaendelea kutoka nyingine ili album iendelee kusikika zaidi mtaani ila naona mwaka ulivyoanza akasema kila wiki atatoa wimbo mpya na kuachana na mambo ya album mazimaSijakataa yupo vizuri na hata alichofanya juzi Tabata ni kikubwa zaidi. Ila tatizo wasanii wake anawaua yy mwenyewe, hawafanyii Promo dogo Killy kaachia Ep haina hata wiki tatu,Angela nae tar 9 March kaachia nyimbo wote hawapati promo,kila mwezi anaachia nyimbo plus collabo anazo shirikishwa.
Uko sawa sijajua kama diamond alikua anaandikiwa mashairi(ghost writer) au alikia anaandika mwenyewe mana ukisikiliza nyimbo kamwambia,mbagala na nyingine kali zs mwanzo zilikua zimeshiba mashairi lakn sasa hivi anatunga mashairi mepes sana na yakuunga unga sana... msikilize ali kiba mashairi yake yalivyotulia na yameshiba kila akitoa nyimbo hamna mtu asiyemkubali anachora sana kitu bacho wasanik weng hawanaTuwe wakweli, Diamond yuko mkali sana lakini huwezi kupinga ukweli kwamba Harmo is talented. Anazidi kukomaa na kuwa bora kila siku, akiachana na uswahili atafika mbali.