Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

HUELEWEKI, INSHORT EP NI MBOVU.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Japo inauma lakini ivumilie tu inavyozidi kukuingia taratibu, ndiyo kupona kwenyewe.

It's still breaking records in case you haven't heard, the dude's EP is more than super awesome.
Visit the digital platforms streamings and see wonders.
 
Kuna watu humu wanauliza mambo ila wakijibiwa wananuna wanataka watu wasapoti kila kitu. Ukijibu tofauti utasikia una njaa mara ohoo wivu. Watu lazima watofautiane .pumbavu ninyi
 
Oya lagaligila (Fresh!)

Ifungwe counter ifungwe bar (Fresh!)

Si hatulali jama (Fresh!)

Na wakifunga tunahama (Fresh!)[emoji482]

Sisi walevi tumepata jimbo letu la kulewea hatuna tatizo nae
 
I salute chief,

Asante kwa nyongeza nimechukua madini.
 
Dunia ya leo atubishani kwa maneno tupu km wajinga dunia ya leo tunabishana kwa takimu nazan tuipe wiki 1 takwimu zitasema km ni ep bora au ni EP mbovu

Lakin mkianza bishana kuna watu wa konde na kiba hawawezi kubali kuzidiwa japo watu wao hawawezi enda wala Ishi bila kulinganishwa na SIMBA
 
EP Mbaya kinoma

Kwanza amefanya kuwaiga wanaigeria hadi amepoteza identity yake.

Pili amejaribu kumuiga konde kuimba vingeleza

Tatu nyimbo mbili tu at least unaweza kukaa na kusikiliza, aliyoimba na zuchu na aliyoimba na mboso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…