Naiwaza kesho ya John Mrema, Yericko Nyerere na Kigaila

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.

Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
 
Hata mwenyekiti wa BAWACHA, kulikua na haja gani ku endorse Mbowe wakati alishakua ameshinda? Sasa hivi anaona aibu tupu!!

Anyway namuomba Lissu asafishe hiyo makao makuu hao incompetent personnel kama Mrema, Munisi, Kigaila n.k wote wapangiwe kazi zingine kwenye kanda.
 
...Mrema ashushwe Cheo awe Mwenezi wa Jimbo moja huko Uchaggani. Kigaila na Mwalimu WAFUKUZWE kwa kosa la kupelekea siri za Chama kwa wake zao ambao ni Wabunge wa kupewa na CCM.
 
Ni kweli baada ya uchaguzi ni LAZIMA mfute tofauti zenu LAKINI kwa tuhuma za Wenje, hapana ..ajiuzulu na iundwe kamati kujua ukweli wa tuhumu hizi za RUSHWA
Itakuwa vyema ikiundwa tume ya kuchunguza tuhuma dhidi ya Wenje. Na taarifa yake iwekwe wazi. Ila najua Lissu hataunda Tume hiyo maana anajua ukweli uko wapi.

Amandla...
 
...Mrema ashushwe Cheo awe Mwenezi wa Jimbo moja huko Uchaggani. Kigaila na Mwalimu WAFUKUZWE kwa kosa la kupelekea siri za Chama kwa wake zao ambao ni Wabunge wa kupewa na CCM.
Hao wasifukuzwe. Wabaki ni wanachama wa CDM bila vyeo.
 
Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.

Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!

Hao hawategemei Ruzuku ya Chama.

Yericko ana Mansion Ghorofa Mbili(3 Storey Building) ,hana njaa.

Kigaila Mkewe Mbunge - Hakosi miradi.

Mrema - Ushawahi kuona Mchaga BOYA?
 
Lissu asifanye Visasi kwa sasa atulie kwanza, Apange safu na Hao critics wake awape nafasi, Kuwa replace itakuwa kitu endelevu over the time ila sio kwa sasa
 
Back
Top Bottom