Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
- Thread starter
- #21
Na vi-vitisho uchwara kama vyote. Mara unanijua mimi nani katika Nchi hii.Jamaa anapiga pombe balaa kumbe unamfahamuš¤£š¤£š¤£š¤£āļø
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vi-vitisho uchwara kama vyote. Mara unanijua mimi nani katika Nchi hii.Jamaa anapiga pombe balaa kumbe unamfahamuš¤£š¤£š¤£š¤£āļø
Ntobi na Yeriko hawafai hawana malezi bora kabisa.Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
Kamata bony yai ,yericko ,kigaila na ntobi peleka taifa ita watu wote wa Dar es salaam hasa keko na mwembe chai wanaojua kusuta haswa ,suta Sana ,piga kila mmoja viboko kumi kumi samehe kila mmoja alafu waache wakapambanie chama mtandao Tena
Yule hana shida na siasa ni mbowe tu alimpa shavu mwanae chapombeJamaa anapiga pombe balaa kumbe unamfahamuš¤£š¤£š¤£š¤£āļø
Nishatoa mapendekezo ya kuwapiga viboko ili waache ulevi na ulafi wa nyama za Mbowe waje wajenge chama tu
Yule mama namuonea huruma sana. Mapema asubuhi kabla ya matokeo kutangazwa, nilimuona ameshika tama na sura fulani ya mawazo mnoo. Ni kama hajui hatma yake vile.Hata mwenyekiti wa BAWACHA, kulikua na haja gani ku endorse Mbowe wakati alishakua ameshinda? Sasa hivi anaona aibu tupu!!
Anyway namuomba Lissu asafishe hiyo makao makuu hao incompetent personnel kama Mrema, Munisi, Kigaila n.k wote wapangiwe kazi zingine kwenye kanda.
Angalau umeongea kiutu uzima. Kuna wajianga wajinga humu wanataka kuonyesha kwamba Lisu atalipiza kisasi kwa wanachadema wenzie kisa tu hawakumuumga mkono, haya ni mawazo potofu na ya kijinga na kama Lisu atafanya hivyo atakuwa anajichimbia kaburiIn CHADEMA no hate no fear.. Uchaguzi umeisha sasa ni mwanzo mpya
Kwani hawana Maisha nje ya chadomoz?Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
Ule ulikuwa ni uchaguzi, nakuhakikishia lissu sio mtu wa visasi, watakuwa sawa tu.Ni chama kimeshindaUkiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
Hivi mlitarajia wote wamuumge mkono Lisu? Sasa kungekuwa na haja gani ya uchaguzi? Au hiyo Demokarasia ingeonekanaje? Au mnataka muwe mnakuja na jina moja kama ilivyo Lumumba? Acheni siasa za kitoto na za chuki, uchaguzi umeisha chama kiunganishweNishatoa mapendekezo ya kuwapiga viboko ili waache ulevi na ulafi wa nyama za Mbowe waje wajenge chama tu
JAMES MBOWE nae anaaulika.Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
Lissu SI mtu wa visasi, kashasahau kikubwa ni kusonga mbeleAngalau umeongea kiutu uzima. Kuna wajianga wajinga humu wanataka kuonyesha kwamba Lisu atalipiza kisasi kwa wanachadema wenzie kisa tu hawakumuumga mkono, haya ni mawazo potofu na ya kijinga na kama Lisu atafanya hivyo atakuwa anajichimbia kaburi
Mmoja huyu hapa Kama sio kigaila Basi ni Bony yai lazima tuwapige viboko ili muwe na midomo yenye stahaHivi mlitarajia wote wamuumge mkono Lisu? Sasa kungekuwa na haja gani ya uchaguzi? Au hiyo Demokarasia ingeonekanaje? Au mnataka muwe mnakuja na jina moja kama ilivyo Lumumba? Acheni siasa za kitoto na za chuki, uchaguzi umeisha chama kiunganishwe
Yericko alimkosea adabu Lissu pakubwa sana. Alidiriki kumwambia Lissu ni mropokaji? Hilo ni moja miongoni mwa kadhaa aliyonena vibaya kuhusu Lissu.Wallah Lissu atasamehe wote lakini si Yericko ama Ntobi.
Hasa wale walio na wake zao kwenye kundi la Covid 19 𤣠Inabidi wamuwahi mapema kumuomba radhi.Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
Huyu Mrema akakunje ngumi kama Mtobi wa Shinyanga....Mrema ashushwe Cheo awe Mwenezi wa Jimbo moja huko Uchaggani. Kigaila na Mwalimu WAFUKUZWE kwa kosa la kupelekea siri za Chama kwa wake zao ambao ni Wabunge wa kupewa na CCM.
Umejawa na ujinga kichwani mwakoMmoja huyu hapa Kama sio kigaila Basi ni Bony yai lazima tuwapige viboko ili muwe na midomo yenye staha