Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Siyo kweli, ni faraja isiyo dhahili.Si hua mnasema kua kwenye siasa hua hakuna adui wa kudumu?
In CHADEMA no hate no fear.. Uchaguzi umeisha sasa ni mwanzo mpyaUkiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
Wallah Lissu atasamehe wote lakini si Yericko ama Ntobi.In CHADEMA no hate no fear.. Uchaguzi umeisha sasa ni mwanzo mpya
Hana kinyongo Ila taratibu za kinidhamu za chama zitafuatwaWallah Lissu atasamehe wote lakini si Yericko ama Ntobi.
Hata mwenyekiti wa BAWACHA, kulikua na haja gani ku endorse Mbowe wakati alishakua ameshinda? Sasa hivi anaona aibu tupu!!Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
awasamehe wote hata akina Yericko wote wanahitajikaWallah Lissu atasamehe wote lakini si Yericko ama Ntobi.
Itakuwa vyema ikiundwa tume ya kuchunguza tuhuma dhidi ya Wenje. Na taarifa yake iwekwe wazi. Ila najua Lissu hataunda Tume hiyo maana anajua ukweli uko wapi.Ni kweli baada ya uchaguzi ni LAZIMA mfute tofauti zenu LAKINI kwa tuhuma za Wenje, hapana ..ajiuzulu na iundwe kamati kujua ukweli wa tuhumu hizi za RUSHWA
Hata kama mtu una huruma kiasi gani huwezi kuwa na mtu aina ya Ntobi kwenye cheo chochote. Dogo hana malezi mazuri. Hana akili.In CHADEMA no hate no fear.. Uchaguzi umeisha sasa ni mwanzo mpya
Hao wasifukuzwe. Wabaki ni wanachama wa CDM bila vyeo....Mrema ashushwe Cheo awe Mwenezi wa Jimbo moja huko Uchaggani. Kigaila na Mwalimu WAFUKUZWE kwa kosa la kupelekea siri za Chama kwa wake zao ambao ni Wabunge wa kupewa na CCM.
Si hua mnasema kua kwenye siasa hua hakuna adui wa kudumu?
Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
Jamaa anapiga pombe balaa kumbe unamfahamu🤣🤣🤣🤣✌️Mrema chapombe 🤣🤣