Najihisi kama muuaji ila inabidi nifanye

Najihisi kama muuaji ila inabidi nifanye

Hivi ww si ndio ulileta uzi unahusu mwanamke kuamka mapema?
Sasa ndio umedhihirisha una akili za aina gani.
 
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.

Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.

Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.

Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.

Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Maombii? Real? You're a killer mother f cker. Anyway nakuombea nawe ufe tuu. Amina
 
Ngoja nikusaidie dada kwani watu wengi wanakutia hofu bure, hofu inayohusiana na "mauaji" na mimi sina haja ya sababu zinazokusukuma kwenda kutoa mimba, mimi nimeguswa na UVUMI kwamba kutoa mimba ni Mauaji.

Nasema hivi; kutoa mimba sio uuaji bali inawezekana ikawa ni kosa tu kama makosa mengine mbali na uuaji.

Kuua ni kutoa uhai wa kitu chenye uhai unaojitegemea, mfano kama utazaa mtoto na ukamuua hapo utakuwa umefanya mauaji na utakuwa na hatia mbele za Mungu na serikali.

Mtoto anapokuwa tumboni uhai wake sio wa kujitegemea bali ni uhai unaomtegemea mbeba mimba, ni mbeba ndio mwenye sauti na power juu ya mimba iliyomo tumboni hii ni sawa na mtu anakuwa na sauti na power na kiungo cha mwili wake, mfano mtu akiamua kukata kidole chake hapo kuna jinai au mayaji???, kidole ni sehemu ya mwili jinsi mimba ni sehemu ya mwili wa mbeba mimba na hata kuna wakati mimba hukaa vibaya tumbini ili kunusuru uhai wa mama Madaktari huamuru mimba hiyo itolewe na wala hawasemi kwamba hapo ni kufanya mauaji, mimba inapolewa katika hali hiyo ni sawa na mtu mwenye kiungo chenye kansa na Madokta wakashauri kiungo hicho kikatwe.

Kuua ni kuondoa uhai wa kiumbe chenye uhai wake binafsi, uhai usiotegemea kiumbe mwingine, mimba haina uhai wake binafsi, mwenye sauti, amri na power juu ya mimba ni mbeba mimba.

Kutoa mimba sio kuua, kama kuna mtu anao ushahidi kutoka katika vitabu vya dini na aulete hapa.

Kutoa mimba bila sababu za msingi ni kosa kama makosa mengine lakini sio KOSA LA MAUAJI.
Usipotoshe vijana walio potoka tayari,waelimishe kwa elimu yako ulio nayo pengine utaokoa jamii,ww hapo ungetolewa ukiwa tumboni usingeandika huu upuuzi hapa.

Mimba iheshimiwe tangu siku inapotungwa ,ni makosa makubwa kuharibu uumbaji wa mwingine kisa tu ww una maamuzi ya kufanya chochote juu yake,huo ni ubinafsi wa kuzani ww ndio una sitahili zaidi kuendelea kuwepo.Huo ni uhai wa mtu kama uhai mwingine.

Ukiwa unatoa na ww utoweke ,mi nazani ndio itapendeza zaidi.
 
Yaani tukuombee ukatoe mimba
Vipi na ww ungefanyiwa hivyo ndo baadae uanze kulialia unamatatizo chungu nzima.
Kama una safari ndefu uliingia kwenye mahusiano ili iweje ?
Au penzi lilikunogea?
Inaonekana ulitanguliza pesa mbele ndo maana umewekwa chap

Kifupi hatuwezi kuombea upuuzi kama uo tatizo mnafanyaga vitu bila kuangakia nn kitatokea .

Mama amina
 
Nakuombea ukitoa mimba Ufe, yaaani ufe kwa kumwaga Damu chumba kizima!
Ulipofanya ukujua italeta mimba???
Pimbavu kabisa

Wewe ndiye muuaji, ni bora ya huyo mtoa mimba kuliko wewe msoma dua mbaya ya mauaji.
 
Hukujua kama kuna ndom kabla hujamruhusu akuingilie? 😳😳😳😳😳😳

Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.

Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.

Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.

Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.

Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
 
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.

Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.

Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.

Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.

Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Just listen to yourself, soma ulichoandika mara mbili halafu ujitafakari

well;
Unahisi humpendi...why did you take such a huge step mpaka ukavishwa pete?

Unahisi umri wako mdogo hauko tayari kuzaa, why didn't you just use protection?

Unahisi unapenda pesa zake...meaning you are selling your hapiness for the love of money? why can't you find your own money and enjoy life to the fullest

Lastly, kuna siku utatamani upate hata hiyo mimba ya kusingiziwa hutaipata, just go ahead and kill that innocent blood in your womb
 
Nawiwa kukuambia hiki, Ungekua kwenye nafasi ya watu ambao Wana Zaidi ya Miaka 10 wanatafuta hata tu kupokea majibu wameshika mimba, lakini haijatokea. Maisha yetu ni mafupi sana, huwezi jua inawezekana Huo ndio ujauzito pekee Maisha yako duniani. Leo ni aibu, kutokua tayari n.k ukiweza kushinda na kukubaliana kupata lawama, aibu n.k Huwezi Jua kesho inaweza kuwa faraja yako. Mungu Akusaidia kuamua
 
Usipotoshe vijana walio potoka tayari,waelimishe kwa elimu yako ulio nayo pengine utaokoa jamii,ww hapo ungetolewa ukiwa tumboni usingeandika huu upuuzi hapa.

Mimba iheshimiwe tangu siku inapotungwa ,ni makosa makubwa kuharibu uumbaji wa mwingine kisa tu ww una maamuzi ya kufanya chochote juu yake,huo ni ubinafsi wa kuzani ww ndio una sitahili zaidi kuendelea kuwepo.Huo ni uhai wa mtu kama uhai mwingine.

Ukiwa unatoa na ww utoweke ,mi nazani ndio itapendeza zaidi.

Wewe ni mwehu na huelewi nimeandika nini, Kuua ni kutoa uhai wa kiumbe chenye "Independent life"---- ukisitisha maisha ya mtoto baada ya kumzaa hapo ndipo utakuwa UMEUA.

Mimba inapokuwa tumboni inakuwa ni sehemu ya mwili wa mbeba mimba na hapo ukiitoa sio MAUAJI hayo ni sawa na kuondoa kiungo chochote cha mwili wako, mimba inapata virutubisho kupitia Umbrical code?? ya mama, kila anachokula mama sehemu inakwenda kwenye mimba hii ni sawa na kila unachokula kinakwenda kwenye viungo mbalimbali vya mwili hivyo utaona mimba wakati huo inakuwa ni part ya mwili wa mbebaji.

Ni sahihi kwamba mimba ya binadamu inayoheshima kuliko mimba za viumbe wengine kutokana na hadhi ya binadamu mwenyewe, kwa msingi huo ni lazima mimba ya binadamu ipate heshima na taadhima kubwa, ila ugomvi uliopo ni huo uvumi uliozagaa kwamba kutoa mimba ni sawa na mauaji, kutoa mimba bila sababu za msingi ni kosa hata mbele za Mungu lakini sio kosa la mauaji na kama kuna andiko la kidini lileteni hapa kwa wakristo au Waisilamu au Mungu hakujua kwamba watu watafanya "mauaji ya kutoa mimba"???!!.

Kuhusu mimi kuzaliwa; hivi wewe mjinga, kama mimi ningetolewa nilipokuwa mimba ningekuwa touched ni kitu gani wakati huo, au ninge feel nini???, wewe umesoma Biology ??---- mimba yako ilipotungwa wale wenzako (sperms) wako wapi???--- what did they feel at that moment in time???--- unatakiwa uhoji maswali ya akili na sio mihemuko ya mitaani kama Wale wanaovumisha na ikaaminika kuwa nyongo ya mamba ni sumu.
 
Back
Top Bottom