OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ukifa nani atatupa mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We muuaji tu kama muaji mwigine si uzae kama wanawake wengine
Ni dhambi ya nini sasaKweli yaweza kuwa ni dhambi lakini sio dhambi ya mauaji.
Maombii? Real? You're a killer mother f cker. Anyway nakuombea nawe ufe tuu. AminaSipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Ni dhambi ya nini sasa
Usipotoshe vijana walio potoka tayari,waelimishe kwa elimu yako ulio nayo pengine utaokoa jamii,ww hapo ungetolewa ukiwa tumboni usingeandika huu upuuzi hapa.Ngoja nikusaidie dada kwani watu wengi wanakutia hofu bure, hofu inayohusiana na "mauaji" na mimi sina haja ya sababu zinazokusukuma kwenda kutoa mimba, mimi nimeguswa na UVUMI kwamba kutoa mimba ni Mauaji.
Nasema hivi; kutoa mimba sio uuaji bali inawezekana ikawa ni kosa tu kama makosa mengine mbali na uuaji.
Kuua ni kutoa uhai wa kitu chenye uhai unaojitegemea, mfano kama utazaa mtoto na ukamuua hapo utakuwa umefanya mauaji na utakuwa na hatia mbele za Mungu na serikali.
Mtoto anapokuwa tumboni uhai wake sio wa kujitegemea bali ni uhai unaomtegemea mbeba mimba, ni mbeba ndio mwenye sauti na power juu ya mimba iliyomo tumboni hii ni sawa na mtu anakuwa na sauti na power na kiungo cha mwili wake, mfano mtu akiamua kukata kidole chake hapo kuna jinai au mayaji???, kidole ni sehemu ya mwili jinsi mimba ni sehemu ya mwili wa mbeba mimba na hata kuna wakati mimba hukaa vibaya tumbini ili kunusuru uhai wa mama Madaktari huamuru mimba hiyo itolewe na wala hawasemi kwamba hapo ni kufanya mauaji, mimba inapolewa katika hali hiyo ni sawa na mtu mwenye kiungo chenye kansa na Madokta wakashauri kiungo hicho kikatwe.
Kuua ni kuondoa uhai wa kiumbe chenye uhai wake binafsi, uhai usiotegemea kiumbe mwingine, mimba haina uhai wake binafsi, mwenye sauti, amri na power juu ya mimba ni mbeba mimba.
Kutoa mimba sio kuua, kama kuna mtu anao ushahidi kutoka katika vitabu vya dini na aulete hapa.
Kutoa mimba bila sababu za msingi ni kosa kama makosa mengine lakini sio KOSA LA MAUAJI.
Nakuombea ukitoa mimba Ufe, yaaani ufe kwa kumwaga Damu chumba kizima!
Ulipofanya ukujua italeta mimba???
Pimbavu kabisa
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Jpm [emoji106]Sijui kama utatoboa wewe .. Huyo mtoto anawez kuja kuwa jembe kama lile wasilolipenda wanafki humu [emoji41]
Just listen to yourself, soma ulichoandika mara mbili halafu ujitafakariSipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Karucee piga maombi kwa nduguyo.kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Unatetea?Nani kawaambieni kutoa mimba ni kosa la mauaji??--- mnapata wapi huo uvumi??
Usipotoshe vijana walio potoka tayari,waelimishe kwa elimu yako ulio nayo pengine utaokoa jamii,ww hapo ungetolewa ukiwa tumboni usingeandika huu upuuzi hapa.
Mimba iheshimiwe tangu siku inapotungwa ,ni makosa makubwa kuharibu uumbaji wa mwingine kisa tu ww una maamuzi ya kufanya chochote juu yake,huo ni ubinafsi wa kuzani ww ndio una sitahili zaidi kuendelea kuwepo.Huo ni uhai wa mtu kama uhai mwingine.
Ukiwa unatoa na ww utoweke ,mi nazani ndio itapendeza zaidi.