OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Tunacheza na fursa mkuu.Malaya mkubwa wee!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunacheza na fursa mkuu.Malaya mkubwa wee!!
Huyu huwa ana stories kibaoHeaven Sent njoo huku kuna mtu anahitaji msaada wako urgently.
Maskini unaenda kuua Rais wa awamu ya 20, please don't do that!Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Yani tukuombeee wakati unaenda kuua😬😬, aiseee.Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Unatuchosha mkuu, mosi wewe ni mtu,ulianzia kama mtu, kwa muktadha huo kiumbe kilichopo ndani ya mama mjamzito ni mtu pia ,
kama ilivyo kumpiga mtu labda risasi ni mauaji hivyo hivyo kutoa mimba ni mauaji pia,sababu wote ni watu wanaouwawa,
Nimeona unaongelea sperm zimekwenda wapi, hizo ni cells tu,mtoto anaitwa mtoto mpaka iungunishwe na yai la mwanamke lililopevuka, kila kitu kimekua crafted na Mungu, uwezo wetu kuzaa umekua limited,it serve some purpose..hii ni kujiandaa kuleta kiumbe na kukilea ambayo inachukua muda kufanya hivyo, kwa hio tusingeweza kuwa na watoto wengi, IMAGINE kila sperm ingekuwa inaruhusiwa kutengeneza mtoto tungelea saa ngapi??? lazima u appreciate Mungu fundi akaweka sperm moja
independence mkuu again hio ni nature huyo mtoto imewekwa ale chakula ,apate hifadhi kwa mama tumbon ili asurvive, yeye hana kosa ..hata wewe labda umefanya mambo mengi yaliyobidi kufanya u-survive ambayo yalikuja tu naturally ....pia,tunapoishi na wazazi wetu wanaprovide vitu kuanzia utotoni mpaka tunakuwa wakubwa,je walitupiga risasi tulivyokua dependents?
hivi na wale wanaozaliwa njiti,yuko nje kwenye uangalizi maalumu je ungewaua watoto wa hivi kw vile wako nje ya mama yao?
Unatetea kuitoa mimba na Id nyingine kweli umeamua!!.
Mimi naona utakuwa wewe ndio mtoa mimba na unajitafutia kauhalali ka hiyo kazi yako.
Uhai ni uhai iwe independent au iwe dependent. Ile kujua kusudi la Mungu, kwenda kinyume ni dhambi siyo lazima viandikwe katika biblia na misahafu. Kukatisha uhai ni kuua. Hakuna jina lingine kwa jambo hilo.
Mi nazani wewe ndio mwehu,nyie madaktari uchwara mnatoa mimba kwa watoto wa shule akiri zenu zimejikita kwenye masirahi tu,hamthamin uhai wa kiumbe chochoteWewe ni mwehu na huelewi nimeandika nini, Kuua ni kutoa uhai wa kiumbe chenye "Independent life"---- ukisitisha maisha ya mtoto baada ya kumzaa hapo ndipo utakuwa UMEUA.
Mimba inapokuwa tumboni inakuwa ni sehemu ya mwili wa mbeba mimba na hapo ukiitoa sio MAUAJI hayo ni sawa na kuondoa kiungo chochote cha mwili wako, mimba inapata virutubisho kupitia Umbrical code?? ya mama, kila anachokula mama sehemu inakwenda kwenye mimba hii ni sawa na kila unachokula kinakwenda kwenye viungo mbalimbali vya mwili hivyo utaona mimba wakati huo inakuwa ni part ya mwili wa mbebaji.
Ni sahihi kwamba mimba ya binadamu inayoheshima kuliko mimba za viumbe wengine kutokana na hadhi ya binadamu mwenyewe, kwa msingi huo ni lazima mimba ya binadamu ipate heshima na taadhima kubwa, ila ugomvi uliopo ni huo uvumi uliozagaa kwamba kutoa mimba ni sawa na mauaji, kutoa mimba bila sababu za msingi ni kosa hata mbele za Mungu lakini sio kosa la mauaji na kama kuna andiko la kidini lileteni hapa kwa wakristo au Waisilamu au Mungu hakujua kwamba watu watafanya "mauaji ya kutoa mimba"???!!.
Kuhusu mimi kuzaliwa; hivi wewe mjinga, kama mimi ningetolewa nilipokuwa mimba ningekuwa touched ni kitu gani wakati huo, au ninge feel nini???, wewe umesoma Biology ??---- mimba yako ilipotungwa wale wenzako (sperms) wako wapi???--- what did they feel at that moment in time???--- unatakiwa uhoji maswali ya akili na sio mihemuko ya mitaani kama Wale wanaovumisha na ikaaminika kuwa nyongo ya mamba ni sumu.
Siku izi anakaa na tujibwa anatuvalisha pempasi na anatuita bby,she is not happy at allWema Sepetu aliwahi kupata mimba na kutoa, hadi sasa anatamani kupata maumivu ya Labour bila mafanikio......
Na ww ulishawahi kunyonga kamoja best?Dah Mungu akusaidie na akupe busara humu utashambuliwa sana ila majority ya wanawake wameshaua kimya kimya aisee. Mungu atusaidie tu kwa kweli
Mi nazani wewe ndio mwehu,nyie madaktari uchwara mnatoa mimba kwa watoto wa shule akiri zenu zimejikita kwenye masirahi tu,hamthamin uhai wa kiumbe chochote
Kwangu ni haram hata mimba ya wiki moja kuitoa eti kisa tu ww uendelee ku survive kwa jinsi inavyo kupendeza.Mimba hutolewa kwa sababu maalum za kiafya tu,sio kama anavyodai huyo shoga yako hapo juu,tena kwa kujisikia,ana afya njema na hana shida yoyote kiafya,na wewe ulivyo limbukeni unaleta mawazo finyu juu ya uhai wa kiumbe kilichomo tumboni.
Unapiga debe watu watoe mimba! we hujui kila kitu huanza na hatua za awali na baadae hukamilika kuwa kiumbe kamili?
Hujui usipo heshimu kilicho kidogo hata kikubwa hutakiheshimu!
Mtazamo wako wa kibinadamu ndio unao kuharibu,Mapenzi sio sitarehe tu ,ukishajua kufanya mapenzi jiandae na kulea kijacho
Mimba ikishatunga , huo tayari ni mwanzo wa kiumbe kingine,haijalishi kinakula kwako au kwa jirani.Thamini uhai wa mwingine,hicho sio kidole au mguu kama unavyofikiria na elimu yako ya biology.
😂😂😂😂😂😂😂 Hili swali litajibiwa kwel?Na ww ulishawahi kunyonga kamoja best?
Kasikilize wimbo wa Nikki Mbishi, kijusi.Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Bado sijakuelewa vizuri. Itabidi nirudie kusoma na kupata uhakika wa jambo hili hasa kwa upande wa kiroho kwa kuwashirikisha watumishi wa Mungu.......... hasa kwenye mimba inayohatarisha maisha ya mama ikitolewa je, ni dhambi au siyo dhambi?Nasema hivi; kama mimi ni mwehu wewe ni mwehu zaidi yangu, hivi unaelewa ninachosema au ndio umeshiba Alkasusu kutoka katika vijiwe vya kahawa??!!.
Sikiliza kwa makini na tuliza akili yako kama unanyolewa; nimesema KUTOA MIMBA BILA SABABU ZA MSINGI NI DHAMBI lakini SIO DHAMBI YA MAUAJI, ugomvi wangu ni kuunganisha kutoa mimba na UUAJI, na nimekwisha eleza ni kwa namna gani kutoa mimba sio mauaji.
Mimba ni njia halali aliyoiweka Mungu ili sisi binadamu na viumbe wengine tuongezeke, bila kupitia mimba sisi sote tusingalikuwepo, mimba ni mali ya baba na mama sio mali ya mama pekee na inapofikia suala ya kuitoa ni lazima wawili hao wakae pamoja kuamua, mfano kama ikathibitika (in the run) na Daktari kwamba mimba itahatarisha uhai wa mama pamoja na uhai wa mtoto akili na Busara huwa ni hii; MIMBA INATOLEWA kunusuru maisha ya mama PEKE YAKE na wakati huo maisha ya mimba wala hayapewi uthamani mbele ya maisha ya mama, katika hali hiyo ni Mwehu gani atakayesema kwamba hao madaktari wemefanya MAUAJI??--- nanasema mimba ikiwa tumboni ni kama sehemu ya mwili wa mbebaji haina "independence life" kiasi kwamba tuseme kuitoa ni kuua kiumbe chenye "independence life". Kuua ni kutoa uhai wa kuimbe chenye uhai wake binafsi yaani uhai wake unategemea kuvuta hewa ya nje, chakula cha nje na kinajitambua na kutambua ulimwengu wa nje, ni NAFSI inayojitegemea yenyewe kuishi, mfano mtoto akizaliwa mara moja anaanza kuvuta hewa, kunyonya mwenyewe kwakuwa nafsi yake ya utambuzi ni independent kwa mama lakini ni dependent kwenye mazingira anamoishi, na anakuwa registered kwa Mungu kama binadamu KAMILI huyo ukimuua hapo ndipo Umefanya MAUAJI.
Narudia kusema; kutoa mimba BILA SABABU ZA MSINGI ni kosa na dhambi mbele ya Mungu LAKINI SIO KOSA LA MAUAJI.
Bado sijakuelewa vizuri. Itabidi nirudie kusoma na kupata uhakika wa jambo hili hasa kwa upande wa kiroho kwa kuwashirikisha watumishi wa Mungu.......... hasa kwenye mimba inayohatarisha maisha ya mama ikitolewa je, ni dhambi au siyo dhambi?