Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

Hivi vijana unapata wapi ujasiri wakusex na mtu ambae hamjapima aiseee dunia imeharibika hii tusirisk maisha yetu kiasi hiki
 
Hiyo tattoo nyuma kwenye kiuno ilikuwa tattoo ya kitu gani?
 
Nikutie moyo kijana, kuchovya sehemu yenye HIV siyo kupata HIV. Kama kweli ana HIV chances za wewe kuukwaa ni less than 1%; Sema ukiukwaa hiyo 1% inageuka kuwa 100% kwako.

Gonorrhea, ama kweli wewe ni muaminifu. Watu wanatibu gonorrhea kila mwezi na bado mamboo yamewasimama wima.

Pole!!
 
Mleta Uzi ,nenda kapime HIV, na umlinde na mwenzio,
Huyo nmdada hana shida , Kwan alikukataza na we ni mtu mwenyewe tamaa za kipumbavu.

Usiwe na hofu kufika 2030 chanjo za ukimwi na malaria zitakuwa tayari zinatumika effectively
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…