Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

Duuh umejichanganganya mwenyewe JF sio tatizo kama ulivyoliita, umeyavaa kabisa lazima uwe makini sana kwenye maamuzi yako hasa ukiwa mtu mzima kwasababu kosa moja linaweza pelekea tatizo la miaka mingi au milele, be responsible... CONSEQUENCES hizo lazima uzibebe,lazima ujue kuwa Kila maamuzi Yama athari zake, unadhani Kuna mtu atakusaidia?, jisaidie mwenyewe lazima utapata muda wa kuhandle hilo kibusara.
 
😂😂Sijawahi kabisa kutana na hii kitu na naomba isije tokea. Niliona mtu akiugulia maumivu plus mnuko ule, daah, hatari sana.
 
Ushauri mzuri sana huu...pole Sana Chief kwa unayoyapitia.

Ila usisahau kupima ili ujue ukweli wa afya yako na uwe tayari kwa lolote.

Ila ni wakati wa kutubia dhambi hii kwa dini yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…